Hawa wakimataifa baada kukosa pesa mfadhili wao namba moja kuwaacha
Upande wa pili kule matopeni kukawa pesa nyingi ambazo zipo mpaka sasa.
Sasa wakimataifa wakawa wanatafta wachezaji wazuri wamatopeni wakitajwa wachezaji hao walikua wanawachukua tumeona kagera nyoni boko dilunga na wengi walitakiwa pale jangwani ila wakaenda msimbazi kibabe.
Sasa kuona hivo wakimataifa wamekuja na staili mpya sasa ni kutaja wachezaji wengi wa kawaida ambapo wamatopeni huwakimbilia na kuwasajili fasta. Afu wao wanafata wachezaji wazuri kimya kimya na kuwanyakua
Nyie wamatopeni situkeni hawa wakimataifa wanawaingizachaka mna mapesa mengi sana ya kusajili wachezaji wa maana watakao wafikisha levo anazotaka boss wenu
Acheni kung'ang'aniana wachezaji wa mafungu na wa kimataifa hamtafika popote.
Maendeleo ya wamatopeni ndio maendeleo ya wa kimataifa acheni kusajili kwa kuwakomoa wa kimataifa mtafeli sana. Ni hayo tu