Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mnaongoza ligi kwa msaada wa tff tu,timu lenu bovu na ndio tuliwatia mimba ya mgongo march 8,ile ilikua kuwadhihirishia tu nyie wabovuMagalasa wakati wanaongoza ligi? Magalasa ndo wa 18 kwa klabu bora Africa, magalasa ndo wanaongoza ufungaji bora, clean sheet na kila kitu, mkuu mbona km unavuta bangi?
Sent using Jamii Forums mobile app