Jinsi wakimataifa wanavyowahujumu wa matopeni

Magalasa wakati wanaongoza ligi? Magalasa ndo wa 18 kwa klabu bora Africa, magalasa ndo wanaongoza ufungaji bora, clean sheet na kila kitu, mkuu mbona km unavuta bangi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaongoza ligi kwa msaada wa tff tu,timu lenu bovu na ndio tuliwatia mimba ya mgongo march 8,ile ilikua kuwadhihirishia tu nyie wabovu
 
Unajifariji tu ila ukweli unaujua.
Mnanunua hilo alipingiki,pa1 na kuongoza ligi kwa mipoint kibao,msimu huu Yanga kachukua point 4 kwa mikia,mikia mipango yao ilibanwa kila sehemu kwa Yanga ndio maana mikia wameambulia point 1 tu
 
Ni kweli hata zile sare sare tulinunua
 
Hawa wakimataifa baada kukosa pesa mfadhili wao namba moja kuwaacha
Upande wa pili kule matopeni kukawa pesa nyingi ambazo zipo mpaka sasa.

Sasa wakimataifa wakawa wanatafta wachezaji wazuri wamatopeni wakitajwa wachezaji hao walikua wanawachukua tumeona kagera nyoni boko dilunga na wengi walitakiwa pale jangwani ila wakaenda msimbazi kibabe.

Sasa kuona hivo wakimataifa wamekuja na staili mpya sasa ni kutaja wachezaji wengi wa kawaida ambapo wamatopeni huwakimbilia na kuwasajili fasta. Afu wao wanafata wachezaji wazuri kimya kimya na kuwanyakua

Nyie wamatopeni situkeni hawa wakimataifa wanawaingizachaka mna mapesa mengi sana ya kusajili wachezaji wa maana watakao wafikisha levo anazotaka boss wenu
Acheni kung'ang'aniana wachezaji wa mafungu na wa kimataifa hamtafika popote.

Maendeleo ya wamatopeni ndio maendeleo ya wa kimataifa acheni kusajili kwa kuwakomoa wa kimataifa mtafeli sana. Ni hayo tu
Yani pale utopolo mwenye uwezo wa kua na uhakika wa namba Simba ni Morison pekeake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Yanga ambao sasa wanahujumiwa na Simba, wanadanganywa Simba inamhitaji Shishimbi na kwamba eti amepewa mkataba wa awali na Simba, wakati ni feki halafu Shishimbi anaenda kuwaonyesha Yanga ili wapande dau, nasikia Shishimbi sasa anataka zaidi milioni 100 Yanga ili aongeze mkataba, na kocha Luc Eymael anadai lazima Shishimbi aongezewe mkataba bado yupo kwenye mipango yake
Usaniiiiiiiiiiiiiiii
 
Hawa wakimataifa baada kukosa pesa mfadhili wao namba moja kuwaacha
Upande wa pili kule matopeni kukawa pesa nyingi ambazo zipo mpaka sasa.

Sasa wakimataifa wakawa wanatafta wachezaji wazuri wamatopeni wakitajwa wachezaji hao walikua wanawachukua tumeona kagera nyoni boko dilunga na wengi walitakiwa pale jangwani ila wakaenda msimbazi kibabe.

Sasa kuona hivo wakimataifa wamekuja na staili mpya sasa ni kutaja wachezaji wengi wa kawaida ambapo wamatopeni huwakimbilia na kuwasajili fasta. Afu wao wanafata wachezaji wazuri kimya kimya na kuwanyakua

Nyie wamatopeni situkeni hawa wakimataifa wanawaingizachaka mna mapesa mengi sana ya kusajili wachezaji wa maana watakao wafikisha levo anazotaka boss wenu
Acheni kung'ang'aniana wachezaji wa mafungu na wa kimataifa hamtafika popote.

Maendeleo ya wamatopeni ndio maendeleo ya wa kimataifa acheni kusajili kwa kuwakomoa wa kimataifa mtafeli sana. Ni hayo tu
Utopolo bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mkipata uwezo wa kugawana Posho bila kubaguana ndio mtaanza safari nzuri kwenye soka.
Yenu malalamiko na kulialia tu kama wajane Utopolo nyie.
 
Back
Top Bottom