Jinsi wakimataifa wanavyowahujumu wa matopeni

Magalasa wakati wanaongoza ligi? Magalasa ndo wa 18 kwa klabu bora Africa, magalasa ndo wanaongoza ufungaji bora, clean sheet na kila kitu, mkuu mbona km unavuta bangi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaongoza ligi kwa msaada wa tff tu,timu lenu bovu na ndio tuliwatia mimba ya mgongo march 8,ile ilikua kuwadhihirishia tu nyie wabovu
 
Unajifariji tu ila ukweli unaujua.
Mnanunua hilo alipingiki,pa1 na kuongoza ligi kwa mipoint kibao,msimu huu Yanga kachukua point 4 kwa mikia,mikia mipango yao ilibanwa kila sehemu kwa Yanga ndio maana mikia wameambulia point 1 tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

K,K
 
Mnanunua hilo alipingiki,pa1 na kuongoza ligi kwa mipoint kibao,msimu huu Yanga kachukua point 4 kwa mikia,mikia mipango yao ilibanwa kila sehemu kwa Yanga ndio maana mikia wameambulia point 1 tu
Ni kweli hata zile sare sare tulinunua
 
Yani pale utopolo mwenye uwezo wa kua na uhakika wa namba Simba ni Morison pekeake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usaniiiiiiiiiiiiiiii
 
Utopolo bana
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mkipata uwezo wa kugawana Posho bila kubaguana ndio mtaanza safari nzuri kwenye soka.
Yenu malalamiko na kulialia tu kama wajane Utopolo nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…