Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

Ungesema tu kwa Kiswahili β€œunataka nini kifayike ili tuweze kusongesha gurudumu letu la mapenzi mbele” ungeeleweka japo maswali ya toka lini tumekuwa wapenzi nk nk yangekuwepo but ujumbe ungeenda direct kwa muhusika.

Sasa ”relationship”,kibiashara,kindugu au nini?wanawake wenyewe hawa wa kibongo watajifanya hawakuelewi ubaki unang’aa macho
 
jaribu kuwa muelewa

hapo katupia ndoano sema amekosa misamiati sahihi

yawezekana ujuzi wake wa ngeli ni mdogo

anajitutumua kwa kufosi
Hata kama jamani, yaani baada tu ya salamu mtu anauliza jinsi ya kuimarisha penzi? Penzi lipi hata hakujui jina ndio kwanza umempa namba.....? Wanaume msikwepe majukumu. Kutongozwa kuna raha yake. Aseme basi hata " dada naomba tuwe wapenzi"
 
Nilichogundua na wewe unamtaka, ila uwasilishaji ndio umekutoa kwenye reli.
Sasa mwambie akutongoze vizuri, au mtongoze wewe, mnasema 50/50
Ndio maana nimeleta hoja mbele yenu wananzengo, hii ya kujibu tu "hi" eti ghafla umeshakuwa mpenzi wa mtu inatisha,
 
Daaah aisee we mpe mbinu za kustrengthen mahusiano yenuuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… anajua akikutongoza utamkataqq kwa mara ya Kwanzaa ndo maana anajenga chemistry tuπŸ‹οΈπŸ‹οΈπŸ‹οΈπŸ˜‰
 
Hata kama jamani, yaani baada tu ya salamu mtu anauliza jinsi ya kuimarisha penzi? Penzi lipi hata hakujui jina ndio kwanza umempa namba.....? Wanaume msikwepe majukumu. Kutongozwa kuna raha yake. Aseme basi hata " dada naomba tuwe wapenzi"
yaani anavyosema 'strengthen' inawezekana kabisa hamaanishi 'imarisha' bali anamaanisha apandishwe cheo kutoka rafiki hadi mpenzi

kiingereza lugha sumbufu kwa wengi, misamiati ni hapa

lakini kama unamuelewa mkubalie dada huna cha kupoteza

ukimchunguza sana bata hutomla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…