Jinsi Wanawake wa mjini wanavyoishi maisha mazuri na huku hana kazi

Jinsi Wanawake wa mjini wanavyoishi maisha mazuri na huku hana kazi

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. "Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku.Love you xoxoxo"

Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka Tegeta, Sinza mpaka Makongo Juu

"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli"

"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa" Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla.

We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 7
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM, wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.

Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana Mbinu hawa Viumbe Balaa, kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!
 
Ila hii tabia ina wacost wadada wengi sana hapa mjini. Unakuta asilimia kubwa wanaliwa tigo na wana K*ma mbaya sana. Hamna mwanaume anaeliwa pesa alafu yeye hafanyi kitu kwa huyo mdada.
 
Mwanaume mjinga ndo akitumiwa limeseji la hivyo anarespond kwa kufanya muamala! Kama si mjinga labda awe wa dar
 
Mwanaume mjinga ndo akitumiwa limeseji la hivyo anarespond kwa kufanya muamala! Kama si mjinga labda awe wa dar
Kama umewahi kumla lazima hiyo meseji itakuingia tu akilini na kuanza kuifanyia kazi ila kama hujamla utajifanya kama hujaiona
 
wana text za kifundi balaa, [emoji23][emoji23][emoji23] ila ni kwa maboya tu...wengine tunaamua wenyewe kum spoil bitch... akianza virungu tu kaachwa...
 
Ukiona mtu anakuletea stori za kuiba ni kwasababu wewe ni mwizi.
Kama siyo mwizi atakuanzia wapi?

Utaanzaje kuniomba 30K ya umeme? Labda unitumie kufanya practice ya kuandika sms za kuwaomba wanaume wengine.
 
Aah wapi unaongea tu hapa... ukiitwa my pompolipo...hata sijui ni nini.

unasahau kila kitu Mzee baba.
Mi hata niitweje sishoboki mkuu...hiyo elf thelathini si bora nimtumie maza,au shangazi,au hata bibi kule kijijini nipate thawabu...malaya wa mjini ndo wanafanya tunakosa hata baraka..unakuta hautusui kumbe we mwenyewe ndo chanzo
 
Duh wana hatari.......sasa dah hata sijui nisemaje kudanga kwangu kooote Wanaume wawili double wamenishida aseee.....heri nimdange mmoja tukiacha nihamie mwingine ....yanini kuishi kama upo kituo cha polisi kila mda huna amani....
Ah ah ah ah acha kabisa yan
 
Mandanga 20???? Anayahandle vipi hayo majitu yote jamani.......hapo si kutaka kufa kwa pressure jamani
Utashangazwa na uwezo wa baadhi ya wanawake mjini na wanavyoishi. It is so amaizing kwakweli.
Watu kutwa kudanga japo hizo hela hawazifanyii lolote. Na mwisho wake huwa si mzuri
 
Utashangazwa na uwezo wa baadhi ya wanawake mjini na wanavyoishi. It is so amaizing kwakweli.
Watu kutwa kudanga japo hizo hela hawazifanyii lolote. Na mwisho wake huwa si mzuri
Basi kazi ipo
 
Back
Top Bottom