Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mjini shule hasa dar
Hakii dar watu wanapenda shortcut sio wanawake sio wanaume.
Kuna hawa wadada wanapenda kujipost insta huko wanajifanya wana mabusiness ya hatari
Wanasema uwaagize chochote china
Unapewa bei rahisiiii.mfano kipodozi cha elfu 35 hapa bongo watasema china ni elfu tano plus usafiri elfu tano.so utaona ukija kuuza bonge la faidaaa
Wadada wengi wanaingia mkenge wanakopa hela wanalipia bidhaaa kuzipata matanga
Kuweni makini kwanza kwenye group hakuna mtu kucoment ni yeye tu.uliona wapi.
Group zingine za mchezo wa kupeana hela
Kila siku mfano elfu 20.
Huyo kiongozi eti anakuwa na majina matano tena yote ya kwanza no 1 hadi 5 . Mchezo una watu 50 hapo .
Wanawake tuache kuwa na tamaa maisha sio rahisi hivo
Ukitaka kuanza biashara anza hapa hapa kuna wauzaji wa jumla wengi tu bei rahisi kabisa na ukiwa mwaminifu mali kauli kama zote .watu wana bidhaa magodown chukua kidogo pata faida kidogo .siku utakua utachukua nawe container lako china.
Sasa pc mbili za kitu unataka bei ya kiwandani kweli??