Jinsi wanawake wanavopigwa kwenye magroup ya kuoda vitu china

Jinsi wanawake wanavopigwa kwenye magroup ya kuoda vitu china

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Mjini shule hasa dar

Hakii dar watu wanapenda shortcut sio wanawake sio wanaume.
Kuna hawa wadada wanapenda kujipost insta huko wanajifanya wana mabusiness ya hatari
Wanasema uwaagize chochote china

Unapewa bei rahisiiii.mfano kipodozi cha elfu 35 hapa bongo watasema china ni elfu tano plus usafiri elfu tano.so utaona ukija kuuza bonge la faidaaa

Wadada wengi wanaingia mkenge wanakopa hela wanalipia bidhaaa kuzipata matanga
Kuweni makini kwanza kwenye group hakuna mtu kucoment ni yeye tu.uliona wapi.
Group zingine za mchezo wa kupeana hela

Kila siku mfano elfu 20.

Huyo kiongozi eti anakuwa na majina matano tena yote ya kwanza no 1 hadi 5 . Mchezo una watu 50 hapo .

Wanawake tuache kuwa na tamaa maisha sio rahisi hivo
Ukitaka kuanza biashara anza hapa hapa kuna wauzaji wa jumla wengi tu bei rahisi kabisa na ukiwa mwaminifu mali kauli kama zote .watu wana bidhaa magodown chukua kidogo pata faida kidogo .siku utakua utachukua nawe container lako china.

Sasa pc mbili za kitu unataka bei ya kiwandani kweli??
 
Suala la kuagiza vitu China Ni HALISI ingawa matapeli hayakosekani.

Binafsi, nimeagiza PC tangu mwaka Jana na mpaka leo sijsaipata.

Ila Kuna mtu aliagiza vitu vyake ( kwa mtu mwingine ) na Mimi ndio nimeenda kumchukulia tena mara mbili.
 
Wanawake ndo wateja wakubwa wa biashara ya utapeli
1. Wachungaji feki wateja wakuu ni wadada

2. Biashara ya upatu deci qnet Africell, forever etc wadada ndo wateja wakuu

3. Waganga feki wateja wait wakubwa ni wadada
4. Na hiyo ulosema
 
Endeleeni na michezo uzuri pesa za michezo tunatoa sie wanaume ata hizo za kuagiza china ni pesa za wanaume
 
Suala la kuagiza vitu China Ni HALISI ingawa matapeli hayakosekani.

Binafsi, nimeagiza PC tangu mwaka Jana na mpaka leo sijsaipata.

Ila Kuna mtu aliagiza vitu vyake ( kwa mtu mwingine ) na Mimi ndio nimeenda kumchukulia tena mara mbili.
Halisi kiasi kidogo sana mkuu
 
Nafikiri wafanye kuagiza/manunuzi wenyewe .

Waache kulemaza akili .
 
Sio kila mtu ni tapeli binafsi nimekua nikiagiza na ninapata vitu vyangu.
Thou tangu dec mizigo mingi iko bandarini haitoki shida ikiwa ni bandari
 
Suala la kuagiza vitu China Ni HALISI ingawa matapeli hayakosekani.

Binafsi, nimeagiza PC tangu mwaka Jana na mpaka leo sijsaipata.

Ila Kuna mtu aliagiza vitu vyake ( kwa mtu mwingine ) na Mimi ndio nimeenda kumchukulia tena mara mbili.
Uliagiza kwa agent gani? Maana wengi wa pc wasioweza kuvumilia wanarudishiwa
 
Write your reply...tapeli ana alama tuwe makini siku hizi ndgu wa karibu anakutapeli wazi wazi bila aibu.
 
Hao wanawake wacha waibiwe na wakora wanatupiga sana pesa kwenye kudanga kwao.
Nasema wapigwe tu hakuna namna.
 
Poleni sana, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom