Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

Unaposema maisha unazungumzia General term, unaposema wanawake unazungumzia Specific term iliyopo kwenye maisha
Duh! Hii ndiyo elimu ya degree ya UDSM. Kwahiyo "wanawake" (plural) ni "specific term" ndani ya "general term" ya maisha. Aisee! It's complete nonsense, to say the least.
 
Labda useme Vijana wa siku hizi wanakimbia majukumu Yao.

Ku-focus na wanawake ni moja ya majukumu ya Mwanaume.
Unaposema maisha unazungumzia General term, unaposema wanawake unazungumzia Specific term iliyopo kwenye maisha

Mkuu umeanza kutupa Wanaume majukumu yako na kuyafanya ni ya wote...

Hakuna jukumu la mtindo huo kwa mwanaume,, ndio maana hata Adam aliletewa Eva na Mungu,, hakumtafuta... na Mwanae Yesu ndio aliachana kabisa na hizo habari...
 
Mkuu umeanza kutupa Wanaume majukumu yako na kuyafanya ni ya wote...

Hakuna jukumu la mtindo huo kwa mwanaume,, ndio maana hata Adam aliletewa Eva na Mungu,, hakumtafuta... na Mwanae Yesu ndio aliachana kabisa na hizo habari...

Labda hujui maana ya mwanaume kutawala dunia
 
Duh! Hii ndiyo elimu ya degree ya UDSM. Kwahiyo "wanawake" (plural) ni "specific term" ndani ya "general term" ya maisha. Aisee! It's complete nonsense, to say the least.

Hujui hata unazungumzia mambo mawili tofauti.

Umesoma morpheme na dhima zake ndio unaleta hapa😀😀

Yaani Plural na Specific unayaweka sehemu moja Kwa msingi upi😂😂

Kwamba Singularity & Plurality
Specifically & Generality

Kasome Concept hizi ili uelewe vyema Deductive reasoning vs. Inductive reasoning

Ukizielewa uje uchangie
 
Wewe ushasema Wanawake wanapenda kuwafurahisha Wanaume. Sasa mbona Gear imebadilika Kwamba Wanaume sasa Ndio wanapewa Jukumu la Kuwafurahisha Wao.

Mwisho wa siku Acha History nzuri (Mwanaume anasifiwa hivi. Kajenga..Kanunua Viwanja.. kaacha Urithi kwa Watoto wake ) na ukishakuwa katika kujenga Familia hutakuwa na Muda wa Kufukiria Kumfurahisha kiumbe mwingine anayetakiwa na Yeye Ajitahidi kuleta Watoto wa Kurithi mali zako

Hutakuja kusifiwa/Kuvuniwa kwa Mambo hayo uliyoandika
 
Mumbo jumbo. "wanawake" ni singular? Acha kujifanya Mwanafalsafa na mjuaji sana na ushuzi wako unaouandika wewe kijana. I challenge yo to write a single paragraph in English next time.
 
Mumbo jumbo. "wanawake" ni singular? Acha kujifanya Mwanafalsafa na mjuaji sana na ushuzi wako unaouandika wewe kijana. I challenge yo to write a single paragraph in English next time.

😂😂😂

Sasa mkuu wewe mambo ya Singular Vs Plural si umeyaleta mwenyewe hapa.

Mimi nimezungumzia Specific Vs General
Nikakuambia Wanawake ni specific ambapo wapo kwenye set ya maisha ambayo ni General.
Unapozungumzia maisha unazungumzia ujumuishi wa kila unachokiona kwenye huu ulimwengu.

Singular Vs Plural
Mwanamke / Wanawake
Woman / Women

Man / Men
Mwanaume/ Wanaume
Haya maneno ni Nomino/Nouns lakini zipo Collective nouns ambazo huweza kutumia Plural only Kama vile Nguo, N.k.

General term inaweza kuwa Singular au Plural Kama utazingatia ishu za Grammar hasa mambo ya morpheme.
Halikadhalika Specific terms zinaweza kuwa Singular au Plural kutegemea na jinsi zilivyo Kwa kuzingatia Grammar.

Mfano;
Matunda ni General term inayojumuisha Maembe, mananasi, matikiti, machungwa n.k.
Lakini Neno matunda ni Plural, singular yake ni Tunda.
Lakini mtu hatajua ni tunda gani.
Ukisema Maembe ni specific kutoka kwenye matunda, ingawaje mtu pia hatajua ni embe gani embe ni embe

Hiyo ni Sarufi au Isimu Mkuu. Ningekushauri ukasome Kozi ya Semantiki na Pragmatiki katika Lugha iwe ya kingereza unachojivuna nacho au Kiswahili ambacho ni Lugha yako.
Maana wewe ndio ulionileta kwenye ishu za Lugha hasa Isimu, kasome UHIPONIMIA.
 

Kwani Mimi nimebisha nayo uliyoyataja hapo,
Majukumu ya Mwanaume ni mengi na yote ni wajibu wake kuyatimiza.

Kwa akili yako unafikiri ukijenga Nyumba au ukinunua viwanja unafikiri unafanya hivyo Kwa ajili ya Nani?

Unafikiri bila ya wanawake haya yanayoendelea Duniani yangekuwepo?

Wanawake hutaka wanaume wanaojitambua watakayofanya wajibu wao sio tuu kujenga Nyumba, na kuwekewa Bali pia kujitawala hayo ndio humfurahisha Mwanamke.

Ili mwanamke akufurahishe itakupasa wewe uliyemwanaume ndiye uanze kumfurahisha.

Somo la Logic linawasumbua watu wengi Sana.

Sasa unasema unaacha Urithi Kwa watoto, HAO watoto unasehemu ya kuwazalia kwenye mwili wako? Si lazima wazaliwe na Wanawake au hilo hulijui. Unasema utaacha Urithi Kwa watoto wakati ili watoto wazaliwe ni lazima mwanamke aamue azae na wewe au laah! Vipi Kama akikubambikizia ukasema umeacha Urithi Kwa watoto wako kumbe WA mwanaume mwenzako.

Somo la Logic wengi bado sana

Wanawake wanapenda wanaume wenye Magari, majumba na Mali kumaanisha wanapenda wanaume wachapakazi,
 
Uko vizuri kwa uchambuzi
 
Wanawake bwana!
Kuna mmoja huku namkataza kuwasiliana na mtu but like hataki kuacha.Nikimwambia niache nenda kwa huyo hataki na inakuwa ugomvi na kwamba ninamfukuza kisa nilete wanawake.

Sasa nashindwa kumwelewa kabisa.Nikimtishia kumpa kofi anasema nipige tu ila usiniumize(japo siwezi mpiga mwanamke maisha yangu yote)anasema sikuachi.

Sasa hivi anataka nini huyu?
 

Anataka umuache ili akuelewe unachomwambja
 
Mwanaume usijaribu Kum Chase mwanamke we fanya mambo yako mfanye mwanamke aku Chase yeye
Hawa viumbe wanabadilika me huwa sijusumbui naishi ninavoweza ndo philosophy yang na bado wanajaa
Usijisumbue kumpambania mwanamke

Pinned pinned pinned[emoji3]
 
Mwanaume usijaribu Kum Chase mwanamke we fanya mambo yako mfanye mwanamke aku Chase yeye
Hawa viumbe wanabadilika me huwa sijusumbui naishi ninavoweza ndo philosophy yang na bado wanajaa
Usijisumbue kumpambania mwanamke
Uko sahihi mzee wa Ngara.
 
makosa yanayo sameheka ni makosa ya kuunguza mboga, kuzidisha chumvi lakin siyo makosa ya kusalitiana

Siyo kazi yangu kumridhisha mwanamke kwa kila anacho taka ikiwa siendani nae nitamuacha mara moja
Sahihi kabisa.
 
Taikoni wa fasihi nataka niulize hivi;

1. Hivi mwanzoni nikiwa namtongoza mwanamke kwa kumpa ATTENTION yangu yote, then baada ya kunikubali na nikafanikiwa kumvua nguo na kumto..**[emoji1], vizuri Hadi orgasm then baadae nikamnyanganya ATTENTION yangu halafu nikachukua ATTENTION yake kwa kumfanyaa awe mtumwa kwangu, nitakuwa nimekosea?. Maana mwanamke akiwa anatumia nguvu nyingi kukunyenyekea mwanaume mi ndo naona FAHARI sana.

2.mkuu unajua maana ya chemical bond? Na unajua effects yake kwenye mahusiano.?

3. Mkuu inakuaje mke wa tajiri anatembea na fukara kabisa mwanaume asie kuwa na Dira ya maisha, na ndio yeye mwenyewe anayemtongoza na kumuhonga pesa, ili tu apewe utamu.?

4. Kwa Mimi Hadi Sasa, ili mwanamke asinikimbie ni lazima hivi vitu niwenavyo maisha yangu yote duniani.
  • fantastic sex, hapa naongelea unlimited orgasms.
  • Enough money, nikimanisha niwe na uwezo wa kumhudumia mwanamke maisha yake yote duniani.
  • Na mwisho ni CARE,/ATTENTION, kumjari hisia zake maisha yake yote duniani.
 

Soma zuli
 
Mwanaume usijaribu Kum Chase mwanamke we fanya mambo yako mfanye mwanamke aku Chase yeye
Hawa viumbe wanabadilika me huwa sijusumbui naishi ninavoweza ndo philosophy yang na bado wanajaa
Usijisumbue kumpambania mwanamke
Kabisa man ni kuishi utakavyo atakaekupenda akupende hivyo hivyo ulivyo
ila ukitaka eti ujitengeneze ili mwanamke akupende utaumia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…