Uko sahihi mkuu mwanamke ukimchekea sana utapata tabu sana.Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.
Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain sl
Kuna wakati inabidi hawa speakers na wanasaikolojia tuwaulize experience yao zaidi kuliko ujuzi wao. Haya mambo yote babu na bibi yangu hawayajui, wameishi miaka 76 ya ndoa, watoto 10, wawili marehemu, hawa wamekufa kama mume na mke mmoja, hakuna watoto wa nje.Umeandika mambo ya msingi sana hadi wakati nasoma nilikuwa natamani habari isiishe👏👏
Mkuu asante kwa kunielewa,usijali hiyo yote inatutokea kutokana na kutotaka ushauri kwa babu zetu tukajiona tunajua mapenzi kuliko wao mwisho wake ndio tumebaki kuburuzwa kama hivi.Tuliokwenye ndoa ndio tunaelewa jamaa kaandika nini. Big up bro
Hizi ndio thread za ukombozi wa fikra, wanaume wengi wanapitia mambo haya ama kwa kujua ila hawana namna zaidi ya kuendelea, na wengine wanapitia mapito haya bila kujua wanafanya just for love bt inauwa uwezo wao wa kiume ktk kujisimamia na kufanya maamuzi.
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.
Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slavin
Sio wote wanalogwa.wengine wanaharibiwa kisaikolojia tu ila kwa vile watanzania wengi imani za kishirikina zime athiri vichwa vyetu ndio maana tunaona kama nao ni ushirikinaHakuna mwanaume sober anayeweza kufanyiwa hayo akawa kimya! Wengi wanalogwa kwanza.
Wewe ujakutana na hawa wanawake:
- Wanyaturu.
- Wanyiramba.
- Wazigua
Hawa wanaloga mtindo mmoja! Mbona utaelewa tu!
Sio wote wanalogwa.wengine wanaharibiwa kisaikolojia tu ila kwa vile watanzania wengi imani za kishirikina zime athiri vichwa vyetu ndio maana tunaona kama nao ni ushirikina
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.
Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai
Nasimama na wewe katika hilo mkuu! Hapo tu ndio ntayumba kidogo ila vinginevyo ni bampa to bampa!Kitu pekee kinachoweza kuniathiri kisaikolojia na kuharibu confidence kwa mwanamke ni kukosa hela tu!
Nje ya hapo Labda aniloge!
Hii kitu inaukweli ndani yake tena kwa wake wa siku hizi wanakuwa wanatikisa kibiriti wakiona kimya ndo basi kwaio ngumi kidgo ni muhimu ili ajue wewe ndo kichwa cha familiaHabari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.
Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slaving(mind games) ambayo huathiri kufikiria kwenu kwa umakini na ujikuta una maamuzi juu pesa yako,mpenzi wako,life style,vitu vyako
Hii ni kweli kabisa sema imani za uchawi nazo zikukaa kichwani huwezi elewa nini chanzoNaona wengi tunaamini sana au kuelekeza matokeo katika kurogwa.
Ni kweli kurogwa kupo ila wengi tunaanza kujiroga wenyewe kutokana na changamoto tofauti tofauti tunazo pitia.
Huu uzi ni wa faida sana kwa mwanaume yoyote. Congrats broHabari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.
Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slaving(mind games) ambayo huathiri kufikiria kwenu kwa umakini na ujikuta una maamuzi juu pesa yako,mpenzi wako,life style,vitu vyako