Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain sl
Uko sahihi mkuu mwanamke ukimchekea sana utapata tabu sana.
 
Umeandika mambo ya msingi sana hadi wakati nasoma nilikuwa natamani habari isiishe👏👏
Kuna wakati inabidi hawa speakers na wanasaikolojia tuwaulize experience yao zaidi kuliko ujuzi wao. Haya mambo yote babu na bibi yangu hawayajui, wameishi miaka 76 ya ndoa, watoto 10, wawili marehemu, hawa wamekufa kama mume na mke mmoja, hakuna watoto wa nje.
 
Tuliokwenye ndoa ndio tunaelewa jamaa kaandika nini. Big up bro

Hizi ndio thread za ukombozi wa fikra, wanaume wengi wanapitia mambo haya ama kwa kujua ila hawana namna zaidi ya kuendelea, na wengine wanapitia mapito haya bila kujua wanafanya just for love bt inauwa uwezo wao wa kiume ktk kujisimamia na kufanya maamuzi.
 
Mkuu asante kwa kunielewa,usijali hiyo yote inatutokea kutokana na kutotaka ushauri kwa babu zetu tukajiona tunajua mapenzi kuliko wao mwisho wake ndio tumebaki kuburuzwa kama hivi.
pia huu uzi unaweza share mitandao mingine habari ziwafikie wengi
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slavin

Hakuna mwanaume sober anayeweza kufanyiwa hayo akawa kimya! Wengi wanalogwa kwanza.

Wewe ujakutana na hawa wanawake:
  • Wanyaturu.
  • Wanyiramba.
  • Wazigua

Hawa wanaloga mtindo mmoja! Mbona utaelewa tu!
 
Hakuna mwanaume sober anayeweza kufanyiwa hayo akawa kimya! Wengi wanalogwa kwanza.

Wewe ujakutana na hawa wanawake:

  • Wanyaturu.
  • Wanyiramba.
  • Wazigua

Hawa wanaloga mtindo mmoja! Mbona utaelewa tu!
Sio wote wanalogwa.wengine wanaharibiwa kisaikolojia tu ila kwa vile watanzania wengi imani za kishirikina zime athiri vichwa vyetu ndio maana tunaona kama nao ni ushirikina
 
Sio wote wanalogwa.wengine wanaharibiwa kisaikolojia tu ila kwa vile watanzania wengi imani za kishirikina zime athiri vichwa vyetu ndio maana tunaona kama nao ni ushirikina

Kabla Hujamiharibu mimi kisaikolojia lazima uniloge kwanza! Mwanaume aliyekamilika unamathiri vipi kisaikolojia bila kumtengeneza aweze kuchukuliana na hayo mambo?
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai

Kitu pekee kinachoweza kuniathiri kisaikolojia na kuharibu confidence kwa mwanamke ni kukosa hela tu!

Nje ya hapo Labda aniloge!
 
Kitu pekee kinachoweza kuniathiri kisaikolojia na kuharibu confidence kwa mwanamke ni kukosa hela tu!

Nje ya hapo Labda aniloge!
Nasimama na wewe katika hilo mkuu! Hapo tu ndio ntayumba kidogo ila vinginevyo ni bampa to bampa!
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slaving(mind games) ambayo huathiri kufikiria kwenu kwa umakini na ujikuta una maamuzi juu pesa yako,mpenzi wako,life style,vitu vyako
Hii kitu inaukweli ndani yake tena kwa wake wa siku hizi wanakuwa wanatikisa kibiriti wakiona kimya ndo basi kwaio ngumi kidgo ni muhimu ili ajue wewe ndo kichwa cha familia
 
Naona wengi tunaamini sana au kuelekeza matokeo katika kurogwa.

Ni kweli kurogwa kupo ila wengi tunaanza kujiroga wenyewe kutokana na changamoto tofauti tofauti tunazo pitia.

Ukiwekeza sana katika kumpa mwanamke wako furaha hii lazima itakuathiri, yaani mkeo akipoteza furaha wewe unapambana juu chini ili kumrejeshea furaha yake.
Pili madhaifu ya kibinadamu ya mkeo kama kukosa mtoto, elimu au udhaifu wa familia yake, mkeo anaweza kutumia madhaifu hayo kama sehemu ya kuona kila unacho mfanyia ni uonevu, yaani unamuonea Kwa udhaifu alionao. Sasa ili kumuonesha kuwa huna dhamira hiyo unalazimika kumsikiliza na kumtendea kila kitu kinachomfurahisha bila kujali wewe utaathirika vipi.

Na mwisho ni makosa uliyowahi kumtendea, kama alivyosema mtoa mada.
Mfano: umewahi kutoka na mtu au umemsaidia ndugu yako, basi mkeo anaweza kutumia hiyo kama sababu leo anataka hiki kesho anataka kile, mara fanya hivi usifanye hivi ukikataa lawama zinakuhusu, "angekuwa flani ungefanya angesema flani ungemsikiliza, angekuwa flani pesa ingepatikana ila kwakuwa ni mimi huwezi sababu hujali.

Yote haya unakuta ni lawama zisizo na mashiko, na mume ili kuonekana muungwana anaamua kufanya tu ili kujivua lawama kumbe ndio anajitoga mwenyewe.

Wengi tunaathiriwa na mambo ya aina hii.
 
Naona wengi tunaamini sana au kuelekeza matokeo katika kurogwa.

Ni kweli kurogwa kupo ila wengi tunaanza kujiroga wenyewe kutokana na changamoto tofauti tofauti tunazo pitia.
Hii ni kweli kabisa sema imani za uchawi nazo zikukaa kichwani huwezi elewa nini chanzo
 
Ishi nao(sisi) kwa akili tuu mkuu acha miguvu. Maana unaweza tumia miguvu na ukalizwa kama kawa
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slaving(mind games) ambayo huathiri kufikiria kwenu kwa umakini na ujikuta una maamuzi juu pesa yako,mpenzi wako,life style,vitu vyako
Huu uzi ni wa faida sana kwa mwanaume yoyote. Congrats bro
 
Back
Top Bottom