Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Hyaa yooote ya nini bana!! tumeumbwa wake wengi sisi bana!! ishi unavo weza tu!! km ukimpenda muoshe hata mwili mzima!!! ukiona unafuraha kaa nae!! ukiona hafai tafuta mwanamke mwenzake mchaw!!i tena na tena akurogeee huyo mtu!!

na ikibidi rafiki yake kindaki ndaki au mdogo wake wa damu piga mashine hasa mpaka ayambe kifukuto!! hapa atakupunguzia majungu! mwanaume lazima uwe na vimada tu ili kuweka displine! atajua yeyey asepe au akae!

nda maana kina Mahita na minyota yao walichukua House keepers!! kwa mambo km haya!! kwanza unapata akiba njema ya watoto!! ke akiwashawishi hawa wakupuuze huku wananyanyuka wengine wa nyumba ndogo wanapiga ndefu kuziba pengo.

Weye bado unapeta kiulainiiiiiii
 
Ujue ushalogwa ndo maana wasema hivyo
Daaa!! kwa mnyaturu? baba ? maji ya kunde, sijui mweupe na tujino mbinuko hivi weee!! najuwa nyaturuz wengi mko ivo!! walahi usipate shida ya kujificha ficha mie niroge tu!! tena siku nikikupata na ukichelewa kuniroga nakwambia kabisaaaaa!! '' Eee banae niroge basi!!

Jamani hivi me' wengine mnatakaga nini? kurogwa si kupendwaa au?? ivi mnataka nini nyie watu?? !! sasa kwa nini ulitongoza usiye mpenda??! wa type yako hukuwaona???

Zee! zima unanywele kila mahali na akili timamu umwage mi grease yako hapa, ukaendeshee gari kwingine, Tena basi bila huruma ya huduma ya usafi? Mwee! in huuu! kwani ke hapendi?? mungu gani aliagiza ivo? si imeandikwa me tumeumbwa kwa mfano wa Mungu?

Sasa mfano wa mungu gani unaruka ruka?? Ke' mtu wana akili sana, tangia kulee! Edeni, Adamu pamoja na kupiga songi na Mungu, alitulizwa!! weye nani kwa ke?? ..ke akikufanyia!! anajua tu weye ni mwana sarakasi hujatulia. sasa

hapo dawa yake ni Limbwatakimahiti linakuhus!! ili ukome huko uendako!! na huchomoki hata km ukichomoka huko utakuwa km msukule tu! bora urudi hapa!

Nikuume sikio bure dogo!! wanaume wenzenu sisi huwa tunajua kabisaaa!! kuwa ''sasa narogwa!!'' nakula kadawa nikijua mwanzo mwisho!! naweka na kamsisitizokabisaa ! '' oyaa! mbona chai bado??

Wenzenu sisi mkuu siyo Madomo zege!! tunakula nyapu ile roho ina penda !! tena mbali na hayo zile classic nyapu!! kulingana na level yetu! au level ya juu hasa! yaani zile bana hazionagi shida bin taabu, ya kukukatia ticket ya go en return! to Sydney!

or somewhere else in de world!! tena basi ukifika ndo mazimaaaa!! unakuwa raia!! siyo kibongo bongo!! Ukiona mutu anaogopa limbwata la mdada!! huyo kakurupika sababu ya udomo zege wake!! sasa wee!!

fikiria tu mtu anakuhangaikia muishi maisha marefu amekupa naniliu ukaweka hivi!! lengo ni mzae mlee! km Mungu alivoagiza ili huko maishani ulelewe na uliowazaa pindi ukizeeka, wewe hutaki!! sasa unataka nini kama siyo kutulizwa??

kwa nini ulimtongoza au kumzalisha mutu ambaye humpendi? hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu? lazima me'' wa hivi utakuwa umepungukiwa chembeakili! tena kilema ! sasa mdada mchawi wa Limbwata hana kosa anakurekebisha tulia tu ule ushibe!

Tena dada piga kabisa limbwata mahiti, awe anakufua hayo makalio yako pindi ukimaliza shughuli ya nyaa!! wkt una pururu yeye asubili standby nje! kwa mlango ya choo!! na kopo la maji akusafishe!! make tayari wa hivi ndo kazi zamfaa,

ili siku akikutoroka, akaseme, .... wa hivi hawaonagi taabu /aibu kusimulia walivo jambishwa kifukuto!

Me'' weye ndo unakosa kubwa unafanya zinaa! eti una sepa??? Na Mungu amekataza Zinaa!!!! naomba wa dada wote humu mnao niona , muwaroge vipanga!! ''kwa amri'' mpaka watambae kwa ulimi!! wakome...

jueni mnawaweza bana! si nyie mnatawala jiko?? unamlisha zee!! zima, unamfulia, unamlaza usingizi mnono! unamtunzia watoto, nyumba yake, mahali pa kulala! mbegu zake, yaani yeye anamwaga!! mwaa! wewe mdada unabeba mzigo huko chini! tena waweza vimba miezi tisa!! usio kuwa na faida kwako!! hivi kweli?? ngoja ....

kwa nini umchezee binadamu mwenye akili zake timamu anae run Dunia?? umgeuze! geuze ka chapati ya uswahilini! tena jua wamekuzaa,wamekulea, wamekulinda,kupa akili, hao!! fikiria tu km Mama/dadako/bintiyo, angefanyiwa ivo!! ungejisikiaje??

km ni hivo kwa nini huyu mwana wa mwenzio? yaani ummwagie mdada mzima kabisa tindikali kali hiyo! af eti usepe? bila chembe ya huruma?? wenzenu tunafanyaga kwa heshima na kumlinda kwa adabu zote na Mungu anasikia!!

bila chembe ya huruma? na wao ke' maskini ya Mungu hao hawasemi kitu! wala kutia neno humu yaani! miafrika sijui ikoje???!!! hee!! ndo Mungu aliagiza hivo? tulia urogwe!!! si ulimpenda? shida iko wapi??? hutaki!! David Cameroon ana neno na wewe!!!. si unamjua kamsome yumo humu.....
 
Sifa ya mwanmme ni kuwa na hela nyingi na wanawake wengi na watoto wengi
#Power

Nje ya hapo mwanamme ni mtumwa tu kwa Mwanamke kake kamoja na umasikini wake.
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.
Conclusion yangu juu ya hawa viumbe kuna kila mtu na wake,stick to your lane and see how things smoothly move forward, ukitaka kutunisha misuli utaumia sana. Talking out of experience!! Lets marinate that..
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain sla
Hii ni kweli tupu

Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana, yaani hii thread imenielezea kabisa
 
Ukim
Daaa!! kwa mnyaturu? baba ? maji ya kunde, sijui mweupe na tujino mbinuko hivi weee!! najuwa nyaturuz wengi mko ivo!! walahi usipate shida ya

Unaongea sawa na umri wako, ukikua utaelewa
 
Uoga tu vimtu gani hivo vya kushindana navyo??
kwanza umemzidi umri.
Pesa.
akili.
Mamlaka
Wepesi
Maguvu
Maamuzi
Wewe ni mfano wa Mungu yeye haijulikani ni mfano wa nani...
Una misuli yeye aipate wapi?
Unaweza oa hata ke kumi yeye apate wapi.
Unawezaishi popote.
Kadri siku zikienda yeye anazeeka.
Akijifanya karumanzila na mie naenda tena palepale.natoa nounga maradufu.
Akifanya fyooo! Shoga zake watakuwa michepuko hawa watanipa siri zake zooote!
Yaani kuna mengi ya kuwafungueni ila basi tu. Ma skili yenu zege sana mnalia weeee km mitoto yatima.

KWa akili Hii:

1. Hautafanikiwa kwenye ndoa.
2. Hautaweza lea watoto vyema.
3. Utakufa mpweke sana.
 
Hongera mkuu kwa uandishi mzuri,afu kwanini mwanaume anaeendeshwa na mke wake nje anakuwa mkali lakini ndani hakun kitu
 
Ukim


Unaongea sawa na umri wako, ukikua utaelewa
Ni sawa na umri wangu Mkuu!! lkn binadamu hawafanani!! mimi siyo wewe, na wewe siyo Mimi! wanyaturu woote hawafanani! ukimnyooshea mnyaturu kidole na weye jitafakari!! hapo mtaenda sawa sawia!
 
Hivi Ni mimi pekeangu sijaelewa anataka amaanishe nini hapa huyu ndugu mwandishi
Baba jifunze kupitaga tu!! ndo maana drsani wengine wengi division 0'', na wachache sana ni division one plus! lkn woote walikaa drsani waalimu wale wale !! sema ukweli kwani kuna wengine walifungiwaga nje??
 
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa.

Nadhani umewai shuhudia mwanaume anaendeshwa na mpenzi wake huenda ni rafiki yako,mtu unafahamiana nae,au wewe mwenyewe imewai kukutokea na basi watu wengi hudhani uchawi umetumika ila ukweli ni kwamba wengi wenu hamjalogwa bali kinachofanyika hapo ni brain slaving(mind games) ambayo huathiri kufikiria kwenu kwa umakini na ujikuta una maamuzi juu pesa yako,mpenzi wako,life style,vitu vyako unavyomiliki na sometimes huwa unahisi hii kitu kwamba unaendeshwa lakini unajikuta kama kuna ugumu kunasuka kutokana brain slaving effect na unabaki kukimbilia kunywa bia ili kupunguza stress,unakimbia nyumba yako mwenyewe na kuina chungu na wengine mnabaki kusalimu amri huku ukijipa moyo ndio inavyotakiwa kuwa hivyo hivyo.

Basi usihofu acha nikueleza jinsi hiyo psychological attack na brain slaving inavyofanywa na wanawake na jinsi ya kujinasua.

TRICK ZINAZOTUMIKA NA WANAWAKE KUATHIRI SAIKOLOJIA YAKO AU KUFIKIRIA KWAKO. 1. Anakucommand na kukuwekea ulazima wa kufanya majukumu ambayo kimsingi siyo yako kama mwanaume.mara nyingi hapa anaanza kwa kigezo cha kumsaidia siku nyingine atajifanya anaumwa na mwisho wa siku unakuta kakubesha mzigo na anaanza kucommand kwa ulazima na wewe unajikuta unaogopa kukaidi.hii kutokana tangu mwanzo akili yako ulianza kujiekea majukumu sio yako tena ukaanza kujifunga na kijiwekea akilini kwako lazima nimsaidie pia ni haki yake bila kujiuliza yeye akusaidia huko unapoenda kutafuta pesa.

2.anapenda kutafuta makosa yako na akiyapata hutumia kukulamikia na kukukandamiza ego yako ili uanze kujiona unamapungufu mwisho wa siku confidence yako ipungue juu ya maamuzi yako binafsi.mfano anakagua simu yako ili kupata tu sababu ya kulalamika,vitu ulivyopoteza au kuharibu anatumia kama mfano pale unapotaka ufanye maamuzi yako binafi nauanze kujiona wewe hauwezi ila yeye ndio ataweza.N.B. kisaiokolojia mtu anayetaka kucontrol anapenda kuponda mienendo yako na vitu unavyofanya ili tu uanze kutii mawazo yake.

3.hupenda kusema haumridhishi au una ume mdogo ,tena hupenda kusema pale tu inapotokea ukinzani baina yake.nakubali ni kweli kuna wanaume wana matatizo hayo ila pia mkubali kuna wanawake hupenda kutumia kama silaha kupunguza confidence ya mwanaume husika.Nadhani wale waliowahi kusifiwa mwanzoni wa mahusiano kuwa wako vizuru na baadaye mahusiano yalipovunjika wajikuta wanatangaziwa hawana makali ndio watanielewa vizuri kwamba nguvu za kiume hutumiwa na wanawake kuvuruga saikolojia ya mwanaume husika ili tu mwanaume huyo amsujudie kwa kuogopa kutangazwa.

4.Anaeneza propaganda chafu juu yako wewe kwenye husiano wenu kwa watoto wako,ndugu zako,marafiki zako na hata majirani wanaowazunguka.hii trick inatumiwa kwa wanaume wenye ubongo zege [emoji23]yani ngumu kuyumbishwa ,kwa hio mwanamke huanza kueneza propaganda chafu ili uanze kujiogopa na kujiona wewe ndio unamakosa muda wote kwa sababu watu wa karibu yako wanakusema vibaya kwa kila unachofanya kutokana na sumu waliolishwa juu yako wewe na mwisho wa siku unaanza kujifeel maamuzi yako ni ya kipuuzi nakuona bora kufata amri za mke wako atakama unahisi ni za kipuuzi.

5.kutokana kutoyumbishwa kwako anajaribu kukushawishi kwa kutolea mfano wa mwanaume fulani huku akimsifia ila kimtazamo huyo mwanaume na yeye anaendeshwa na mpenzi wake.mfano- Labda siku alikuambia humsaidie kufua vijora vyake ukataa kufua ,anaanza kusema unajikuta kidume mbona mwenzio baba fulani akitoka kazini kila siku anamsaidia mkewe kila kitu hadi anafua hadi chupi za mkewe[emoji23] na mbona bado ni mwanaume tena ni mwanaume kweli,utamsikia tena akikuambia jiamini mwanaume wewe kama ni mwanaume ni mwanaume tu.My friend hii kitu nishaelezea point ya kwanza sasa wewe jichanganye hufuate ushauri wake ndio utaelewa kwanini tuliambiwa tuishi nao kwa akili sio kupaka mkongo.

6.Anaanza kuchukulia kufanya wajibu wake ni kama favor wala sio wajibu kama wajibu na hupenda kukuambia kauli ambazo humaanisha kuishi na wewe ni bahati mbaya hivi. Hii trick mwanamke anakuwa anakushusha daraja kwa kujisifia yeye ili kuongeza ego yake ili wewe huanze kujisikia mdhaifu na uanze kumsujudia kwa kuogopa kumpoteza ila hii mara nyingi hufanya kazi kwa wanaume dhaifu.

7.kukejeli na kukufokea mbele za watu hasa watu unaofahamiana nao kama vile watoto,marafiki zako,wafanya kazi wenzio,majirani wanaowazunguka.Hii mwanamke hutumia kukufanyia dhihaka mbele za watu wanakufahamu ili tu huanze kujiogopa juu yake na kujiona wewe hauna maana yani kiufupi hii trick inaua self awareness yako ,mwisho wa siku unajikuta saikolojia yako imevurugika kutokana na dhihaka uliofanyiwa mbele za watu ambao kimsingi ulikuwa unapata heshima kabla na mwisho siku unakuta unaendeshwa na mkeo japo moyo wako unaumia lakini unaogopa kutoka na violance uliofanyiwa ambayo imesababisha uoga wa maamuzi kutokana na kufa kwa self awareness yako.

8.kujiweka kwenye hali kana kwamba unamyanyasa halafu wewe mwenyewe ukifikria unaona kabisa hujamnyanyasa ila yeye full kununa na kukaa kihuzuni.hii trick mwanamke hujinunisha ili tu mwanaume husika afate matwaka yake kwa vile mwanaume huyo atahofia juu ya kukosa kwake furaha,mwishoo wa siku mwanaume huyo hufata matakwa yake ili mwanamke huyo afurahi.Nadhani watu waliobahatika kusikia story za samson na delira watanielewa.

9.akupa pesa na anachukua jukumu la kukulea.mara nyingi wanawake hutumia trick kukosesha kauli katika mahusiano.japo mara kwanza wanaume wengi huchukulia kama upendo mara kwanza ila mwisho wanajikuta kuhisi kukosekana kwa uhuru wa maamuzi binafsi kama wanaendeshwa vile ila ndio hivo mwanamke huyo kamfanyia brain slaving yani mwanaume anashidwa kuwa mbunifu jinsi ya kutafuta pesa kutokana na ile misaada kulemaza ubongo wake.mwisho wa siku anabaki kumsujudia mwanamke huyo ili kuokoa kula yake.

VITU AMBAVYO HUFANYA MWANAUME KUATHIRIKA KIRAHISI SANA NA TRICK HIZO ZA BRAIN SLAVING.

1.kupenda kutazama tamthiliya za mapenzi za kisasa.hii bila kupepesa macho mara nyingi tamthiliya za love story huonesha character bora wa kiume huwa anakuwa weak emottion pale kwenye suala la mapenzi mara nyingi huwa ni mtu wa kulia na kukubali usaliti kwa kutumia njia ambazo zinamdhalilisha mwenyewe binafsi.hii kitu kama ulikuwa mtazamaji kindakindaki lazima tu utaanza kuzitumia na mwisho wa unajikuta unaburuzwa ila wewe unaona sawa tu.

2.unachukua ushauri kutoka kwa wanawake.siku zote ukimuomba ushauri mwanamke kuhusu matatizo yako ya mahusano atakufundisha jinsi kuwa mr.nice hata kama mke wako kachepuka mbele yako ,utakujibu pole jamani !!! anaweza akawa shetani kampitia au utakuwa hauko romantic hebu kesho mfanyie shopping ya nguvu halafu mpeleke hotel kubwa mkaenjoy halafu akiwa huko muulize kwanini unanisaliti?[emoji23]

3.kutojitambua nafasi yako kama mwanaume na kutoelewa mipaka ya majukumu yako.

4.kuathiriwa na misemo ya woman empowerment.mara nyingi misemo hii ikikukaa akilini uwezi tambua nafasi ya uongozi kama man na unaanza wewe bila mwanamke huezi ishi.

5. Kupenda kusikiliza nyimbo ambazo maudhui yake huonesha mwanaume akivumilia manyanyaso huku akijipa moyo ipo siku atapendwa.

6.Kuruhusu speech za wanaume waliobuluzwa na wake zao kujichukulia nafasi.sababu hizi speech ukizisikiliza huwa zinaleta mfadhaiko ambao hupoteza nguvu yako kama mwanaume na kuanza kujiona hata wewe ni loser kwa mwanamke kitu ambacho sio kweli ni vile kuna wanaume ni weak emottional.

7.kuigiza kama comedian furani au katuni.tangu watu waamishwe mwanamke anapenda mwanaume mcheshi basi wanaume wengi wameanza kujishushia status zao kwa kufanya mambo ambayo kimsingi wanakuwa kama katuni fulani huku wenyewe wakiona wanawake hao wakiwachekea halafu baadae unaanza kuhisi dharau kwa wanawake hao.

8.Kutofanya na kuogopa kufanya crimes event(sijahamasisha matukio makubwa ya uhalifu).umewahi jiuliza kwanini vijana zamani walikuwa wanachezeshwa michezo hatari kama kua simba wakiwa wana andaliwa kuingia katika ndoa jibu ni kuweka spirit ya uongozi,mamuzi magumu,uwajibikaji,ujasili ndio maana hawakubuluzwa kama sisi kwa sababu ya kuwa strong emottional.hii ndio mana wake wanapenda bado Bad boys kwa sababu ya kuwa na spirit hizo.

HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUEPUKANA NA MITEGO HIYO

1.tafuta doctor wa saikolojia akueleze namna ya kuwa na self aweness.

2.Acha kuangalia love story anza kunza kuangalia filamu za action ili kujiwekea spirit ya kujaribu na kuamua mamuzi magumu pale unapopitia wakati mgumu.

3.Acha kuigiza kama katuni kuwa smart cheka pale tu panapotakiwa anza kuongea kwa order huku sauti ikiwa ya bezi achana kuongea sana huku umebana sauti.

4.kwa kulinda ego yako kama mwanaume ondoa akilini kwako speech zinazoelezea ego power ya wanawake anza kuhifadhi speech nzuri za mfumo dume.

5.Acha kukimbia nyumbani kwa kuogopa mke wako mkorofi inakubidi urudi nyumbani kukabiriana nae.kabiriana kwa kuongea kimamlaka yani unaongea maneno machache yenye kukaa katika mfumo wa order bila kusahau bezi la kuforge[emoji23]
6.penda kuwa wewe usikubali mtu akubadilisha kwa kukejeli na kama utaona kejeli zimezidi react kama unampiga hii kwa sababu kuna viumbe vikorofi.

7.kama utaweza anza kujifunza michezo kama boxing,karate ambayo kimsing hujenga spirit ya kujiamini hata kwenye wakati mgumu.
8.kwa wale waliothiliwa na point 5 na7 unaweza tumia mfumo huohuo kugeuza kibao.

9.Anza kujiboresha kiroho na kujiweka strong.kwa sababu kuna wanawake wakianza kuona mabadiliko hawachelewi kukimbilia tradition issues.

Asante japo kwa kuisoma japo najua nitakua kunasemu nimekosea uandishi na wale wenye maswali na ushuhuda mnaweza kucomment
One of the best thread 2021 to me!!
 
KWa akili Hii:

1. Hautafanikiwa kwenye ndoa.
2. Hautaweza lea watoto vyema.
3. Utakufa mpweke sana.
Imani hizi Mkuu!! yaani nipumbazwe sababu ya Kung'ang'a nia Ndoa ya mnuka kikwapa mmoja?? labda siyo mimi!! maisha yenyewe Mafupi haya!! ''Aweke pesa kwanza hapa''!! sasa raha gani Bongo! na maji ya visima hayo!! ukomae na ujinga wee!! unadhani ma CD hawa kulelewa vyema? tena wengne wasomi kukuzidi!

Kwanza jua kabisa ukitajirika, na ke'' Mmachame anaku floatisha faster hapo hapo, anajua utamuolea baadaye huko!! niwazuri kuchochea maendeleo ila ukiyapata heee!! utaisoma number..........ukimuamini yeye hakuamini!

Kufa upweke ujue weye ni mchoyo, yatima,ndugu, washirika kanisani nk, wapo tele! nenda kwa gwajima uone km utakufa mpweke! sasa ni hvi sikia wanao kufanya ufanikiwe hasa ni watu baki kabisaaaa!! si ndugu!! km wapo ni wachache mno lkn pia wanakuwekea Limit!

sawa Mkuu ndoa imefanikiwa!! sasa ndo utapata hela?? weee!! ungesema sitapata hela hapo sawa lkn siyo nyapu!!! ukiwa na hela na mashine iko vizuri watajilea wenyewe huko waliko, usicheze na kitu pesa wewe!!

Kwanza ukikosa hela ke'' hakutaki' hata uvumilie vipi!! watamzalisha wengine tu! utalea wa wengine! siku moja utajua ukweli huo mchungu, na ukimkemea Mama yao utakula kichapo si cha Dunia hii!! si wanamjua Baba yao Nyarusare Nyama hela! wataenda tu huko,

Ok! tuseme umeoa umezaa watoto weengi, ndo watapata hela auhutakufa??! hata wakipata hela wanadhitiwa na wake zao sometimes limbwata liwakae, na wasikujue kwani hujaona watoto wanakana wazazi wao?? huo ni uoga wa Maisha!
 
Hapa tutasoma tutaongea wee, ila ikifika kwa ground sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo kwanza wataenda kukusemea unataka kuwagombanisha
 
Imani hizi Mkuu!! yaani nipumbazwe sababu ya Kung'ang'a nia Ndoa ya mnuka kikwapa mmoja?? labda siyo mimi!! maisha yenyewe Mafupi haya!! ''Aweke pesa kwanza hapa''!! sasa raha gani Bongo! na maji ya visima hayo!! ukomae na ujinga wee!! unadhani ma CD hawa kulelewa vyema? tena wengne wasomi kukuzidi!

Kwanza jua kabisa ukitajirika, na ke'' Mmachame anaku floatisha faster hapo hapo, anajua utamuolea baadaye huko!! niwazuri kuchochea maendeleo ila ukiyapata heee!! utaisoma number..........ukimuamini yeye hakuamini!

Kufa upweke ujue weye ni mchoyo, yatima,ndugu, washirika kanisani nk, wapo tele! nenda kwa gwajima uone km utakufa mpweke! sasa ni hvi sikia wanao kufanya ufanikiwe hasa ni watu baki kabisaaaa!! si ndugu!! km wapo ni wachache mno lkn pia wanakuwekea Limit!

sawa Mkuu ndoa imefanikiwa!! sasa ndo utapata hela?? weee!! ungesema sitapata hela hapo sawa lkn siyo nyapu!!! ukiwa na hela na mashine iko vizuri watajilea wenyewe huko waliko, usicheze na kitu pesa wewe!!

Kwanza ukikosa hela ke'' hakutaki' hata uvumilie vipi!! watamzalisha wengine tu! utalea wa wengine! siku moja utajua ukweli huo mchungu, na ukimkemea Mama yao utakula kichapo si cha Dunia hii!! si wanamjua Baba yao Nyarusare Nyama hela! wataenda tu huko,

Ok! tuseme umeoa umezaa watoto weengi, ndo watapata hela auhutakufa??! hata wakipata hela wanadhitiwa na wake zao sometimes limbwata liwakae, na wasikujue kwani hujaona watoto wanakana wazazi wao?? huo ni uoga wa Maisha!
Mkuu unaandika kwa uchungu sana asee. Based on experience nini?
 
Back
Top Bottom