Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mkuuDar watu sio waaminifu hata kidogo ,kama unataka mzigo mzuri wa kutumia au wa biashara nenda mwenyewe ,maana kuna mawili either wakupe ronya au kutapeliwa.
Wabongo wengi ni janja janja sana ndio maana biashara zinatushindaHabari za asubuh ndugu wana jf.
Leo nimekuja kutoa mikasa miwili mitatu jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa pale tunapoagiza bidhaa toka huko dar es laam.
KISA CHA KWANZA niliwah ona page 1 ya facebook & instagram ambayo inapost nguo nzuri sana za dukani hasa mashati, kwakua nilipenda basi nikachukua namba yao nikaagiza shati 4 kutokana na picha ya shati nilizozipenda basi nikawatumia whatsap waone zile shati 4 alafu wanitumie mzigo had mkoa nilipo.
NIkawatumia pesa kamili ya mzigo ila pesa ya usafiri nililipa nilipochukua mzgo. Kuja kutahamaki katika zile shat 4 nilizotuma picha anitumie ni shat 1 tu ndio niliyochagua na nyingine 3 ni shati tofauti kabisa yani mara nyingne oversize,nyngne ipo vile, nilivyompigia hakuweza kupokea tena simu.
KISA CHA PILI, nilipata mtu anayeuza simu dar , nikaagiza simu samsung a24 , ram 6 ,rom 128, nilimtumia pesa kamili ya simu na pesa ya transport, ila nilipopokea simu nilikuta ni RAM 4 rom 128, japo ni simu mpya na ni nzuri ila alileta ulaghai kwenye Ram kadr ya tulipokubaliana, nilipompigia nae hakuwa na jibu.
Hivyo basi, wafanyabiashara wa daslama, tunaomba muwe mnaenda ndani ya makubaliano, sio kila mtu anaweza kufika dar au ana ndugu dar.
Kwahiyo Watanzania wote huwa mnaenda China hamtumii Ali Baba?Itoshe kusema una moyo wachuma, watu wanalizwa sana kwa hizi biashara za mbali.
Ok km unaona ni yaleyale baki hivyohivyo.Mbna ni yaleyale tu mkuu
Nakubaliana nawewe lakini naona umetoa mifano kwa watu ambao tayari wanajulikana ndani ya jf ni wazi hawawezi kuharibu heshima yao kwa kufanya mambo ya kitapeli.Kwahiyo Watanzania wote huwa mnaenda China hamtumii Ali Baba?
Naona wengi mnamtowa akili mleta mada lakini Mimi naona Yuko Sahihi.
Naweza kufanya biashara na Mshana Jr Bila hata kuonana naye, naamini Mshana hawezi kuharibu reputation yake JF Kwa sababu ya biashara ya million hata kama anatumia I'd bandia.
Kuna namna ya kufanya biashara na mtu usiyemjuwa na ukawa salama tu.
Hivi Leo nimuagize kitu Kiranga Marekani cha dola 500 akimbie I'd na heshima kubwa aliyonayo hapa JF Kwa sababu ya dola 500?
Kwa mifano hii michache nadhani mtaelewa kwamba dunia tuliopo individuals huwezi kutumia letter of credit ya benki kupata huduma, na supplier hawezi kudeliver service Bila pesa yake, kwahiyo ni wajibu wako kufanya biashara na watu Sahihi na namna ya kupata watu Sahihi Zipo.
Anacholalamika mleta mada hata Japan kulikuwa kinafanyika, kwenye internet unapostiwa gari lakini huoneshwi dosari zake, walipokuja Be forward wamefanya mapinduzi kama gari ina scratch wanakuonesha kabisa ndio sababu ya Be forward kuliteka soko, uadilifi.
Anacholalamika mleta mada hata Japan kulikuwa kinafanyika, kwenye internet unapostiwa gari lakini huoneshwi dosari zake, walipokuja Be forward wamefanya mapinduzi kama gari ina scratch wanakuonesha kabisa ndio sababu ya Be forward kuliteka soko, uadilifu[emoji419][emoji375]Kwahiyo Watanzania wote huwa mnaenda China hamtumii Ali Baba?
Naona wengi mnamtowa akili mleta mada lakini Mimi naona Yuko Sahihi.
Naweza kufanya biashara na Mshana Jr Bila hata kuonana naye, naamini Mshana hawezi kuharibu reputation yake JF Kwa sababu ya biashara ya million hata kama anatumia I'd bandia.
Kuna namna ya kufanya biashara na mtu usiyemjuwa na ukawa salama tu.
Hivi Leo nimuagize kitu Kiranga Marekani cha dola 500 akimbie I'd na heshima kubwa aliyonayo hapa JF Kwa sababu ya dola 500?
Kwa mifano hii michache nadhani mtaelewa kwamba dunia tuliopo individuals huwezi kutumia letter of credit ya benki kupata huduma, na supplier hawezi kudeliver service Bila pesa yake, kwahiyo ni wajibu wako kufanya biashara na watu Sahihi na namna ya kupata watu Sahihi Zipo.
Anacholalamika mleta mada hata Japan kulikuwa kinafanyika, kwenye internet unapostiwa gari lakini huoneshwi dosari zake, walipokuja Be forward wamefanya mapinduzi kama gari ina scratch wanakuonesha kabisa ndio sababu ya Be forward kuliteka soko, uadilifu.
Acha kuwadanganya wengine.Mimi nimeagiza mara nyingi sana kwa wauzaji wa online tofauti tofauti toka dar nikiagiza leo kesho mzigo nimepata na ukiwa tofauti huwa nawajulisha nawarudishia kwa gharama zao wanabadilisha kama hamna huwa wananipa option ya kurudishiwa hela au kuchagua bidhaa nyingine.
Hatar sana hiiNakubaliana nawewe lakini naona umetoa mifano kwa watu ambao tayari wanajulikana ndani ya jf ni wazi hawawezi kuharibu heshima yao kwa kufanya mambo ya kitapeli.
Mleta mada yeye amefanya biashara na watu ambao hajui chochote kabisa kuhusu wao, ni very risk. Hapo ni 50/50 kupata ulichoagiza au kutapeliwa, kwa mazingira ya huku kwetu utapeli kwenye hizi biashara za mitandaoni ni mkubwa mno, nna experience kwa wateja wa mikoani wengi ni waoga na wana hofu ya kutapeliwa siwashangai kwa sababu utapeli umeshamiri sana. Mtu yeyote anaweza kuwa na picha za bidhaa na kupost apate wateja na kuwatapeli.
Ni vizuri kutumia hata mtu unaefahamiana nae kuhakiki bidhaa na mhusika kuepusha kutapeliwa kabla ya kufanya malipo ya bidhaa.
Mwaka jana kuna jamaa yangu aliagiza suti 3 kwenye duka fulan kinondoni, baada ya kumfikia 2 zilikuwa tofauti na alizochagua pichani.
Wafanyabiashara wa mikoani ni wapumbavu sana linapokuja suala la bei.Tatzo mkuu huku mikoan simu ya laki 5 ,uko dar n lak 4 na 20 labda, na sio rahisi kumfaham/ kujuana na mwenye duka la simu uko dar, kwahyo unajikuta unaagiza kwa mtu wa jf tu.
Ni changamoto sana watu wanalizwa kila sikuHatar sana hii
Sijui huwa kuna uhusiano gani baina ya kusita sita kwa mteja na yanayotokea baada ya mteja kukubali. Misukosuko baada ya hapo ndio inanishangaza.kuna wale wa agiza china na nani sijui sitaki hata kuwaskia, watu sijui ni tamaa sijui ni nini wakati kujenga uaminifu ni kujitengenezea mteja wa kudumu atarudi tena na tena.
Mie binafsi nategemea sana online business ila mteja akiwa na wasiwasi huwa namuambia kama ana mtu amtume aje amnunulie kama hana na hawezi kuniamini bora aache tu, maana mi mwenyewe asilimia kubwa mteja akiwaga na doubt inanileteaga hadi nuksi kwenye mzigo sijui kwanini, kumfikia lazima tuuu vitatokea kash kash hapo kati mara mzigo usahaulike, ufanyiwe misplacement gari iharibike sijui lakini at last mteja lazima atapata, ila akaja tu mtu nataka kitu hiki nitumie sehemu flani hawa mzigo unafika bila taaabu.
Ukiona ivo ujue mzunguko wa hela ni mdogo anafidia na siku ambazo hauziWafanyabiashara wa mikoani ni wapumbavu sana linapokuja suala la bei.
Yaani unakuta mkoa kama Tanga nauli ya kwenda na kurudi Dar haizidi elf.40 halafu mfanyabiashara mfano wa simu anazidisha bei zaidi ya laki.
Me huwa najiuliza hivi hawa hapo Dsm wanapaona ni mbali sana kwamba mtu hawezi kwenda na kurudi fasta kununua hiyo simu?
Wanasema mkoani kugumu lkn ugumu wanauleta wao wenyewe na tamaa zao
Ana bahati maana mikeka haichaniki[emoji1][emoji1][emoji1]Wewe mtoa mada hua una bet bila kujijua[emoji3][emoji3][emoji3]
Huko kupata mizigo yako kwenyewe basi mikeka yako ilitema
Wangekufyagia kabisa usipate chochote kile
Vijana wa dar wanajiona kama ndio wenye Tanzania yao vile
Kuna mtu nilikutana nae fb muda kidogo tukazoeana akataka kunitumia pesa nimnunulie nguo afanye biashara eti
Alinikuta maisha ya chuo yashanipiga sielewi ila akanikuta nna imani nikaona hapana kwakweli
Nikamwambia dada gift usimuamini mtu unaekutana nae mitandaoni mie sio mwizi ila hata mimi pia usiniamini
Ukija dar ntakupeleka kila unapopataka
Dar kuna vijana wa hovyo sana na pia utu kwasasa umekua haba mnooo
Dar ni jiji la kila mtu ni mwizi, ndiyo maana Dkt Magufuli kupitia Dkt Kikwete kahamishia makao Dodoma. Kwa ufupi Dar ni mji wa matapeliHabari za asubuh ndugu wana jf.