Jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa tunapoagiza bidhaa toka kwa watu wa Dar es Salaam

Dar watu sio waaminifu hata kidogo ,kama unataka mzigo mzuri wa kutumia au wa biashara nenda mwenyewe ,maana kuna mawili either wakupe ronya au kutapeliwa.
 
Wa ongo wachache sana wanaziweza biashara za mitandaoni
 
Wabongo wengi ni janja janja sana ndio maana biashara zinatushinda

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Itoshe kusema una moyo wachuma, watu wanalizwa sana kwa hizi biashara za mbali.
Kwahiyo Watanzania wote huwa mnaenda China hamtumii Ali Baba?

Naona wengi mnamtowa akili mleta mada lakini Mimi naona Yuko Sahihi.

Naweza kufanya biashara na Mshana Jr Bila hata kuonana naye, naamini Mshana hawezi kuharibu reputation yake JF Kwa sababu ya biashara ya million hata kama anatumia I'd bandia.

Kuna namna ya kufanya biashara na mtu usiyemjuwa na ukawa salama tu.

Hivi Leo nimuagize kitu Kiranga Marekani cha dola 500 akimbie I'd na heshima kubwa aliyonayo hapa JF Kwa sababu ya dola 500?

Kwa mifano hii michache nadhani mtaelewa kwamba dunia tuliopo individuals huwezi kutumia letter of credit ya benki kupata huduma, na supplier hawezi kudeliver service Bila pesa yake, kwahiyo ni wajibu wako kufanya biashara na watu Sahihi na namna ya kupata watu Sahihi Zipo.

Anacholalamika mleta mada hata Japan kulikuwa kinafanyika, kwenye internet unapostiwa gari lakini huoneshwi dosari zake, walipokuja Be forward wamefanya mapinduzi kama gari ina scratch wanakuonesha kabisa ndio sababu ya Be forward kuliteka soko, uadilifu.
 
Nakubaliana nawewe lakini naona umetoa mifano kwa watu ambao tayari wanajulikana ndani ya jf ni wazi hawawezi kuharibu heshima yao kwa kufanya mambo ya kitapeli.

Mleta mada yeye amefanya biashara na watu ambao hajui chochote kabisa kuhusu wao, ni very risk. Hapo ni 50/50 kupata ulichoagiza au kutapeliwa, kwa mazingira ya huku kwetu utapeli kwenye hizi biashara za mitandaoni ni mkubwa mno, nna experience kwa wateja wa mikoani wengi ni waoga na wana hofu ya kutapeliwa siwashangai kwa sababu utapeli umeshamiri sana. Mtu yeyote anaweza kuwa na picha za bidhaa na kupost apate wateja na kuwatapeli.

Ni vizuri kutumia hata mtu unaefahamiana nae kuhakiki bidhaa na mhusika kuepusha kutapeliwa kabla ya kufanya malipo ya bidhaa.

Mwaka jana kuna jamaa yangu aliagiza suti 3 kwenye duka fulan kinondoni, baada ya kumfikia 2 zilikuwa tofauti na alizochagua pichani.
 
Anacholalamika mleta mada hata Japan kulikuwa kinafanyika, kwenye internet unapostiwa gari lakini huoneshwi dosari zake, walipokuja Be forward wamefanya mapinduzi kama gari ina scratch wanakuonesha kabisa ndio sababu ya Be forward kuliteka soko, uadilifu[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwadanganya wengine.
 
Hatar sana hii
 
Tatzo mkuu huku mikoan simu ya laki 5 ,uko dar n lak 4 na 20 labda, na sio rahisi kumfaham/ kujuana na mwenye duka la simu uko dar, kwahyo unajikuta unaagiza kwa mtu wa jf tu.
Wafanyabiashara wa mikoani ni wapumbavu sana linapokuja suala la bei.

Yaani unakuta mkoa kama Tanga nauli ya kwenda na kurudi Dar haizidi elf.40 halafu mfanyabiashara mfano wa simu anazidisha bei zaidi ya laki.

Me huwa najiuliza hivi hawa hapo Dsm wanapaona ni mbali sana kwamba mtu hawezi kwenda na kurudi fasta kununua hiyo simu?

Wanasema mkoani kugumu lkn ugumu wanauleta wao wenyewe na tamaa zao
 
kuna wale wa agiza china na nani sijui sitaki hata kuwaskia, watu sijui ni tamaa sijui ni nini wakati kujenga uaminifu ni kujitengenezea mteja wa kudumu atarudi tena na tena.
Mie binafsi nategemea sana online business ila mteja akiwa na wasiwasi huwa namuambia kama ana mtu amtume aje amnunulie kama hana na hawezi kuniamini bora aache tu, maana mi mwenyewe asilimia kubwa mteja akiwaga na doubt inanileteaga hadi nuksi kwenye mzigo sijui kwanini, kumfikia lazima tuuu vitatokea kash kash hapo kati mara mzigo usahaulike, ufanyiwe misplacement gari iharibike sijui lakini at last mteja lazima atapata, ila akaja tu mtu nataka kitu hiki nitumie sehemu flani hawa mzigo unafika bila taaabu.
 
Sijui huwa kuna uhusiano gani baina ya kusita sita kwa mteja na yanayotokea baada ya mteja kukubali. Misukosuko baada ya hapo ndio inanishangaza.

Wateja wa hivi usiwaaminishe sana kuwa hawajakosea kukuamini na kukuchagua wewe, the more ukijitahidi kuwathibitishia ndio unazidi kuharibu na wakaamini unafanya hvyo ili wajae watapeliwe. Uaminifu wa kweli ni bidhaa kumfikia mteja kwa wakati.
 
Ukiona ivo ujue mzunguko wa hela ni mdogo anafidia na siku ambazo hauzi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ana bahati maana mikeka haichaniki[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi nipo hapahapa dar ila silipii kitu hadi nikione kwanza, wewe wa huko unatuma pesa yote kabisa + transport fee.
Ujengewe sanamu, unajiamini sana.
 
Dar ni jiji la kila mtu ni mwizi, ndiyo maana Dkt Magufuli kupitia Dkt Kikwete kahamishia makao Dodoma. Kwa ufupi Dar ni mji wa matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…