Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

Halafu chat nyingine
Jamaa: mambo mdada uko poa
Sent from iphone 7
Mdada: niko poa tu
Jamaa: i want to meet you if your interested nije nikupik for lunch
Sent from iphone 7
Mdada: sawa sina cha kufanya sa hvi
Mpesa: umepokea shilling 50,000 salio lako jipya ni tsh 50,250
Jamaa: u ill call me when your ready
Sent from iphone 7
Sasa wewe endelea na ngojera zako
Ww ni muuaji kabisa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kumiliki mazima lazima uniletee bank statement nione money flow yako ipoje kwanza ndiyo unimiliki mazima..
Haina sheeda ilmradi papuchi bado nzima,,,,! Itabidi na mm nikague "mileage " ili iwe "win win situation"
 
bitch is just a bitch...!
hata kama umpe maneno mzuri, bado akipokea maneno mazuri kwingine, utaibiwa.
Wanawake ni viumbe wasiotabirika unaweza kuchati naye Na bado akaja bwege mmoja akamlala bila ngonjera wala kuhonga Na mimba unaletewa ulee....."so sad"
 
Back
Top Bottom