Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
"Maraika wangu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua katika wachokozi na wewe umo. Ngoja nikusemee kwa mwenyewe."Maraika wangu"
Hivi unajua katika wachokozi na wewe umo. Ngoja nikusemee kwa mwenyewe.
hivi huyo uliechat nae ikatokea akapitia jf alafu akaona umescreenshot conversation zenu umezianika mtandaoni ambapo kila mtu anaona atajiskiaje?you are so wrong in many ways brah
Kama ni Muraa fresh tuHapana mkuu, hivi mtu akikiuta "maraika" utajisikiaje?
mmmmmm jamani mbona hivyo wewe ndege Yohana? utamkwaza sana uliyechat naye akiona umemtupia hapa JF
"akikiuta"Hapana mkuu, hivi mtu akikiuta "maraika" utajisikiaje?
Safi kabisaTafuta hela mkuu hata usipomtumia msg wala kumpigia atavumilia tu