Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

Kipindi namtongoza nliingia na zaidi ya izo swag lakin sahz naijua papuch ake vilivyo, ata hanipi shida...ubabe ubabe 2
 
I
1482923543161.png
 
Yaaan mwanamke yeyt alie kwny uhusiano kumpata kunategemeana na kuonyeshwa dalili ya kupata kile ambacho anakikosa huko aliko...
Huenda jamaa anampa pesa za kutosha na kugegeda anagegeda vzr lkn ukimuuliza huyu bint ametamkiwa lin neno nakupenda na huyo alienae atakujibu hata hakumbuk...
Nkupen mfano hai kuna demu mmoja ameolewa na askari kuhusu pesa jamaa anajitoa vzr tu kuhus kugegeda sjui yuko vp lkn huwez amin nlianza kumdekeza kwny chat siku mbili tu kajaa na nkagundua kuwa amemiss sana maneno matam nkatilia mkazo hapohapo wkend1 akajitoa twnde mji fulan hv mbali kidog na tunapoish tulienda ijumaa mpka jtatu asbuh saana tukaondka kila mtu na njia yake lkn kwa muda woote huo jamaa yake hata kumjulia hali hamna cha gud monin wala gud9t nkasema kwa mwendo huu acha tu nmmegee maana nsipokula mm lazma kuna boya mwengne atajitokeza na atammega tu
 
Watu mnajitahidi kuwajua wanawake ila bado. Wale viumbe weka mbali na watoto.

1. Wenye maneno mazuri wanagongewa
2. Wenye kuhonga pesa wanagongewa
3. Wenye walokole/dini sana wanagongewa
4. Ma-HB wa kweli wanagongewa
5. Mastaa wanagongewa.
6. Wanaopiga mzigo haswa wanagongewa..[emoji2]
Yani hawa watu waacheni tu labda Mola aumbe wapya atuletee
 
Maneno matamu yanasaidia,
nshawahi ibiwa demu na jitu hata hela halina!
Since then, siamini mwanamke kabisa kwani nilkua naoffer kila kitu
 
Back
Top Bottom