Jinsi watu wanavyotongozana JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ES bhana.
Umesahau na wale wa kusalimia kutwa mara saba
Shunie
 
wengine wana flirt tu hapa JF,wakifunga computer zao ni baba/mama/mume/mke wa mtu...likes zisikuhadae ..mtu anaweza akakukubali kwa points zako na hivyo kukupa likes bila kuwa na maana nyingine Zaidi ya hio like tu...
i had forgotten to add this in. sometimes a like, is just that, a like. Nothing more, nothing less.
 
Kauzi kamekosa picha tu ila msijari nitawapandishia.

Reactions: ywf
wengine wana flirt tu hapa JF,wakifunga computer zao ni baba/mama/mume/mke wa mtu...likes zisikuhadae ..mtu anaweza akakukubali kwa points zako na hivyo kukupa likes bila kuwa na maana nyingine Zaidi ya hio like tu...
Nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…