Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Ukisoma nlichoandika nmewaelezea real men walivo na wakware walivo
Kuna watu bhana, ni wabahahili,wanaotafuta kupiga hatua na sio kwamba hela hawana ila waanazo,but ni wabahili wa kutaka kufanya maendeleo hao VIP ni real men au sio real men
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
Mi nilijua wanaume tu ndo hatupendi uandishi huo wa kike kumbe kuna wadada hampendi zile sijui
(jomoni, I'm xowiii)
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure

Hapo ndio panaponifanya nishindwe kuja pm yako
 
wengine wana flirt tu hapa JF,wakifunga computer zao ni baba/mama/mume/mke wa mtu...likes zisikuhadae ..mtu anaweza akakukubali kwa points zako na hivyo kukupa likes bila kuwa na maana nyingine Zaidi ya hio like tu...
kula like
 
Hahahaaa!!! Daaamn girl, hii technique kwa sie wapenda hela hatuchomoi kabisa. Hivi hamna sikukuu karibuni!!!
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
 
Trust me, ukiwa makini mwanamke unamjua tu maana kupretend na kuwa real ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mfano yule wa kujiita sexless angalia mwandiko wake unajua kabisa hili ni dume.
Labda tukifikia hatua ya kupeana namba za simu na tuwe tunaongea ndipo naamini kama ni mwanamke.

Ila hata hivyo bado napenda tu Avatar za ke, japo naishia kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Hahahaaaa!!
Heaven Sent njoo umchukue katibu wako.
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
 
Thumuni LA kujoin jf siyo la kutafuta wanawake
Wanawake wako wengi sana huku kujijini kwetu
 
Madame B yana ukweli haya?
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
Mie ukija Pm afu nakuona huelekei, huna sababu ya maana ya kuja Pm, huwa sikujibu.

Mtu anakuja Pm anakuuliza, Madame, eti unaona hali ya hewa hii?
Asa mtu kama huyu unamjibuje?
Kwanini asiwe direct ili nijue moja?

Au mwingine anakuja Pm anaomba umpe namba ya flani...we mwehu nini.

Ila kuna wale wazee wa kubet, anakuja moja kwa moja Pm mzima mzima.
Yuko tayari kwa lolote.

Mie mtu ukija Pm kwanza naenda kwa Profile yako kukusoma.
Nikiona majanga....nakupotezea.
Ila mtoa mada yuko sahihi, tembezeni like mjitengenezee njia
 
Back
Top Bottom