Jinsi watu wanavyotongozana JF

Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flani matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....
Mbarikiwe sana real men kokote mliko, muongezewe zaidi mnapotoa.
(Basi vikware hapa vitanyapia baadae vipige uturn pm vijifanye navyo ni vi real men)
Unatoa image Fulani siyo nzuri kivile,samahani lakini umeolewa au bado ! ! !,Tuanze hapo kwanza
 
Oooh ngoja nianze kujb PM. Lakn nyingine zinaboaa mtu anakuuliza uko wapi ukimjb tu anaomba namba ya Simu Chaaaa mtakutana na Mashetani yanayonyonya damu za watu.
kuzoea zoea watu mwisho uta zoea majini.

=====
Sijakujibu kama mtoa mada alivyosuggest bali nilitaka kukazia huo msemo.
 
At the end ikawaje mammy.. Au umebarikiwa kuliko wanawake wote[emoji85]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ my ribs
Hahaaaa wakiona mtu kaokoteza picha za demu mkari kaweka profile picha wao wanaingia kichwa kichwa kumbe wanachat na dume πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…