Flirting doesnt involve money....Talking about flirting....
Ni story ndefu kidogo ila nadhani nishasimuliaga humu.... Kuna kipindi nilirudisha mpesa yake Smart911 kama mara mbili hivi namjibu Sina njaa kiivo na sinunuliwi kwa pesa mimi .... sema he's so genius anajiamini sijawahi ona yaliyofuata mwenyewe nilisalute... na mpaka leo namshukuru sana mungu kwa ajili ya Smart911
I never spent for an anonymous, never! Just flirting...Flirting doesnt involve money....
Mbona hakuingiliki au mm ndio sijuiKaribu
Hujui dearMbona hakuingiliki au mm ndio sijui
Mkuu nieleweshe mfano smart kachoka chalii hana michongo ya pesa kaisha, ile ukimwona humtofautishi na teja, vp hapo malavu lavu yatakuwaje au unaomba mungu yasitokee, maana mungu naye anapenda kweli kutia kidole kwenye maji yaliyotulia
Mi nna case mbili tatu za mdingi alikua anapiga kazi benk kuu alivyotumbuka mama akakimbia na watoto hajazoea kuishi km vile
Case yako vp
I like you and i love you... sioni shida kukupa chochote ilihali nakupenda... Hasara roho peke yake pesa ni makaratasi tu mahondaw wangu... nazitafuta na kuzipata ili uzitumie...
Follow up mpnzHujui dear
Nakumbuka sana mahondaw wangu... kwenye maongezi nikakurushia pesa... ukairudisha na maneno makali juu, nikadhani ndogo, nika-ii- double nikakurushia, ukairudisha tena yote... nikabaki natabasamu mwenyewe... nikai-triple tena nikakurushia, ukakaa kimya... nikasema kama kweli huzitaki hizo pesa mpe mtu yoyote au kesho sehemu fulani tuonane unirudishie mkononi...
Kila ukimuombea, usisahau kujiombea pia. Coz unaweza kumuombea abarikiwe halafu akishabarikiwa sana mnaachana huku wewe huna baraka zozote...teh teh kidding!!!proudly to have you my king... thanks sana smart kila siku nakuombea mungu akuzidishie smart wangu..
Nakumbuka sana mahondaw wangu... kwenye maongezi nikakurushia pesa... ukairudisha na maneno makali juu, nikadhani ndogo, nika-ii- double nikakurushia, ukairudisha tena yote... nikabaki natabasamu mwenyewe... nikai-triple tena nikakurushia, ukakaa kimya... nikasema kama kweli huzitaki hizo pesa mpe mtu yoyote au kesho sehemu fulani tuonane unirudishie mkononi...
HayaFollow up mpnz
Ngoja nianze kukoment kwa huyu.Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.