Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Ni story ndefu kidogo ila nadhani nishasimuliaga humu.... Kuna kipindi nilirudisha mpesa yake Smart911 kama mara mbili hivi namjibu Sina njaa kiivo na sinunuliwi kwa pesa mimi .... sema he's so genius anajiamini sijawahi ona yaliyofuata mwenyewe nilisalute... na mpaka leo namshukuru sana mungu kwa ajili ya Smart911

Nakumbuka sana mahondaw wangu... kwenye maongezi nikakurushia pesa... ukairudisha na maneno makali juu, nikadhani ndogo, nika-ii- double nikakurushia, ukairudisha tena yote... nikabaki natabasamu mwenyewe... nikai-triple tena nikakurushia, ukakaa kimya... nikasema kama kweli huzitaki hizo pesa mpe mtu yoyote au kesho sehemu fulani tuonane unirudishie mkononi...
 
Mkuu nieleweshe mfano smart kachoka chalii hana michongo ya pesa kaisha, ile ukimwona humtofautishi na teja, vp hapo malavu lavu yatakuwaje au unaomba mungu yasitokee, maana mungu naye anapenda kweli kutia kidole kwenye maji yaliyotulia

Mi nna case mbili tatu za mdingi alikua anapiga kazi benk kuu alivyotumbuka mama akakimbia na watoto hajazoea kuishi km vile

Case yako vp

Hahahahaha.. mkuu acha tu yani Smart911
kufilisika sio leo wala mtondogoo..
 
Nakumbuka sana mahondaw wangu... kwenye maongezi nikakurushia pesa... ukairudisha na maneno makali juu, nikadhani ndogo, nika-ii- double nikakurushia, ukairudisha tena yote... nikabaki natabasamu mwenyewe... nikai-triple tena nikakurushia, ukakaa kimya... nikasema kama kweli huzitaki hizo pesa mpe mtu yoyote au kesho sehemu fulani tuonane unirudishie mkononi...

tehteh .. usinikumbushe love yaniiiiiii natamani Ile siku ijirudie kwakweli it was a unique day in my life I never forget.... Smart una makusudi jamani dahhhhhhhhhh!! Seriously umependelewa sana
 
proudly to have you my king... thanks sana smart kila siku nakuombea mungu akuzidishie smart wangu..
Kila ukimuombea, usisahau kujiombea pia. Coz unaweza kumuombea abarikiwe halafu akishabarikiwa sana mnaachana huku wewe huna baraka zozote...teh teh kidding!!!
 
Nakumbuka sana mahondaw wangu... kwenye maongezi nikakurushia pesa... ukairudisha na maneno makali juu, nikadhani ndogo, nika-ii- double nikakurushia, ukairudisha tena yote... nikabaki natabasamu mwenyewe... nikai-triple tena nikakurushia, ukakaa kimya... nikasema kama kweli huzitaki hizo pesa mpe mtu yoyote au kesho sehemu fulani tuonane unirudishie mkononi...

Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nampaje tu mtu hela yote Ile awamu hii?? Ila una majaribu sana smart afu wajitia huna hata time namimi mwenyewe lol nuksi sana love Nikaanza kukutafuta mimi sasa mweh!
 
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Ngoja nianze kukoment kwa huyu.

Ila kiukweli nimemmisi miss chagga
 
Back
Top Bottom