Poa.Hamnaa badoooo
Hiyo ni ya wazee wa miamala, mimi ni mwendo wa salamu tu!Ile umekula akijibu bado unamtumia 50k kwanza akale mtoto
Kwani wanawake wa humu wanatoka Pluto? Hawa wa mitandaoni ndio hao hao wako mtaani offline.Sina ulimbukeni huo na sijawahi waza kutongoza humu kwanza naanza kutongoza mwanamke mitandaoni kiufupi ni ushamba + ulimbukeni
Tafuna tu mdogo wangu uvunje rekodi ya yule aliezikimbia!Hiyo ni ya wazee wa miamala, mimi ni mwendo wa salamu tu!
Ndio maana sifanikiwi.
Sasa unamtongoza mtu humuoni na hujawahi muona pia hata picha wanazoweka ni wachache huwa wanaweka picha zao wengi wanaweka picha za watu! Siku sasa ukimwita aje muonane badala ya kuja Ghati ulimuona unashangaa unamuona Rhobi ambae humjui kabisaKwani wanawake wa humu wanatoka Pluto? Hawa wa mitandaoni ndio hao hao wako mtaani offline.
hhhahahahaah majina ya watu wa musoma hayo !lolSasa unamtongoza mtu humuoni na hujawahi muona pia hata picha wanazoweka ni wachache huwa wanaweka picha zao wengi wanaweka picha za watu! Siku sasa ukimwita aje muonane badala ya kuja Ghati ulimuona unashangaa unamuona Rhobi ambae humjui kabisa
It doesnt work that way. Its a long process mpaka kukubaliana kuonana mshafahamiana vizuri. Ukikurupuka ndio mtakimbiana.Sasa unamtongoza mtu humuoni na hujawahi muona pia hata picha wanazoweka ni wachache huwa wanaweka picha zao wengi wanaweka picha za watu! Siku sasa ukimwita aje muonane badala ya kuja Ghati ulimuona unashangaa unamuona Rhobi ambae humjui kabisa
[emoji3] [emoji3] umeshawahi kufika!kama nimefika kilele cha mlima k'najro
Safsana [emoji3]πππ mob
Si mchezoIt doesnt work that way. Its a long process mpaka kukubaliana kuonana mshafahamiana vizuri. Ukikurupuka ndio mtakimbiana.
Inaanzia kwenye thread>PM>Simu(Wsap)>Picha>Kuonana live>whatever u decide.
Ukila 50k yangu niliyoipata kwenye kazi yangu ya kubeba zege alafu uninyime "chiu" walahi nakulogahahaa " issue kama hizo huwa hazitaki pupa chief "... yataka mzoeane kiasi", huku awali ukiwa wajifanya", una pretend kuwa huna nia ovu ya kumuomba muhusika papuchi"... ndio maana Evelyn " akasema" huwa inafanywa",na wanaume" ambao umri
wao umesonga",na wale wenye kipato cha kati" Yaani wao kupoteza 50k kwa kuhonga hela ya lunch hawawazi" hata ikitokea" wakanyimwa chiu' hawajutii " sababu uchumi una ruhusu"
hehheheheh basi wengi tungekuwa tumelanduka!Ukila 50k yangu niliyoipata kwenye kazi yangu ya kubeba zege alafu uninyime "chiu" walahi nakuloga
Hahaah pesa niliyoitafuta kwa jasho uile hivihivi..inaumaaahehheheheh basi wengi tungekuwa tumelanduka!
Sio ushamba mkuu..huyajui vizuri mapenzi weweSina ulimbukeni huo na sijawahi waza kutongoza humu kwanza naanza kutongoza mwanamke mitandaoni kiufupi ni ushamba + ulimbukeni
πππHahaah pesa niliyoitafuta kwa jasho uile hivihivi..inaumaaa
ha ha haaaUkila 50k yangu niliyoipata kwenye kazi yangu ya kubeba zege alafu uninyime "chiu" walahi nakuloga