Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Kwani wanawake wa humu wanatoka Pluto? Hawa wa mitandaoni ndio hao hao wako mtaani offline.
Sasa unamtongoza mtu humuoni na hujawahi muona pia hata picha wanazoweka ni wachache huwa wanaweka picha zao wengi wanaweka picha za watu! Siku sasa ukimwita aje muonane badala ya kuja Ghati ulimuona unashangaa unamuona Rhobi ambae humjui kabisa
 
JavaScript is disabled. For a better
experience, please enable JavaScript
in your browser before proceeding.
 
Sasa unamtongoza mtu humuoni na hujawahi muona pia hata picha wanazoweka ni wachache huwa wanaweka picha zao wengi wanaweka picha za watu! Siku sasa ukimwita aje muonane badala ya kuja Ghati ulimuona unashangaa unamuona Rhobi ambae humjui kabisa
It doesnt work that way. Its a long process mpaka kukubaliana kuonana mshafahamiana vizuri. Ukikurupuka ndio mtakimbiana.
Inaanzia kwenye thread>PM>Simu(Wsap)>Picha>Kuonana live>whatever u decide.
 
hahaa " issue kama hizo huwa hazitaki pupa chief "... yataka mzoeane kiasi", huku awali ukiwa wajifanya", una pretend kuwa huna nia ovu ya kumuomba muhusika papuchi"... ndio maana Evelyn " akasema" huwa inafanywa",na wanaume" ambao umri

wao umesonga",na wale wenye kipato cha kati" Yaani wao kupoteza 50k kwa kuhonga hela ya lunch hawawazi" hata ikitokea" wakanyimwa chiu' hawajutii " sababu uchumi una ruhusu"
Ukila 50k yangu niliyoipata kwenye kazi yangu ya kubeba zege alafu uninyime "chiu" walahi nakuloga
 
Back
Top Bottom