Jinsi watu wanavyotongozana JF

Ukila 50k yangu niliyoipata kwenye kazi yangu ya kubeba zege alafu uninyime "chiu" walahi nakuloga
Hamna mwanaume ambaye hawazi hela yake, hata km kaiokota jalalani hawez kumpa tu mwanamke just for fun, ni uwekezaji unaotakiwa kuleta manufaa, km tu kuhonga rahisi mbona mwisho wa siku ukiachana na dem akikuomba hiyo 50 unaanza kujifikiria km umpe au umvungie,
 
Ukiona kumpa pesa ndugu yako au ombaomba anaye shinda road ni ngumu sana ila kumpa mwanamke ikawa rahisi basi sio kipimo cha U-Real Men, ni uwekezaji tu wa kawaida.
 
ila nimeisoma mara 3 hii txt yako umeiandika kwa hisia kali sana!kweli wanaume jaman mmepishana sana sana!ht mm bahat mby ningekuwa men wala isingeniuma!....pole sana
kuuma inadepend na umeipatajepataje iyo pesa..mtu umefanya kazi ngumu kwa jasho umepata icho kidogo alafu mtoto wa kike kwa kutumia uzuri wake anakuja kukichomoa hicho kidogo ulichopata...hata wewe ungekuwa man lazima iume saana tu
 
Wote tunawaza but wengine wanawaza sana and wengine kidogo
 
It doesnt work that way. Its a long process mpaka kukubaliana kuonana mshafahamiana vizuri. Ukikurupuka ndio mtakimbiana.
Inaanzia kwenye thread>PM>Simu(Wsap)>Picha>Kuonana live>whatever u decide.
Sponsor hauna kashidano kengine tena? Nimemiss mizawadi ya ku-upgrade status mweeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…