Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namimi ndio nimeanza kumwaga likes kwako kama hivi" so kwa mujibu wa mtoa mada" jipange nina mpango na wewe""... wallahi nitakupa offer ya ice buckethapa nimelipukkwa cheko hadi nimelia kha!
Hapo kwenye kujiongeza ndio F kabisahhahahhahaa nakufa huku mm jaman!mm pia spemdi salam nying jaman!arghhh nahayo ma xx ndo kabisaaaa!akikuambia naenda lunch jiongeze!
hahhhahahahhahhah!namimi ndio nimeanza kumwaga likes kwako kama hivi" so kwa mujibu wa mtoa mada" jipange nina mpango na wewe""... wallahi nitakupa offer ya ice bucket
Hahahaha.. Eti real men kisa wanagawa hela.. Na mm nataka niwe real man eti. Heb nitumie no dm nikutumie hata japo ka laki ka weekend na mm niingie kundini.Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flani matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....
Mbarikiwe sana real men kokote mliko, muongezewe zaidi mnapotoa.
(Basi vikware hapa vitanyapia baadae vipige uturn pm vijifanye navyo ni vi real men)
Wadada wa watu masikini hadi wamefunga pm zao
Aibu nimeona mimihujawahi kuniangusha
yaani hata unipige mtama sianguki
nakupenda sanaaa
japo hunijibu pm zangu
kuna mbaba humu mchachu km wasira!jaman akishasikia manengelo anaenda kula anatuma salio jama had raha!na aatuma ahd ya kutolea!rahajeee!Hapo kwenye kujiongeza ndio F kabisa
umekula wangapi?Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!
Hahahaha.. Eti real men kisa wanagawa hela.. Na mm nataka niwe real man eti. Heb nitumie no dm nikutumie hata japo ka laki ka weekend na mm niingie kundini.
Sio tu kugawa hela APPROACH NZURI, real man hawezi kuja pm kusema mambo vp ixhu znaendjeHahahaha.. Eti real men kisa wanagawa hela.. Na mm nataka niwe real man eti. Heb nitumie no dm nikutumie hata japo ka laki ka weekend na mm niingie kundini.
Hebu mtonye aje dm na no nitume ufe kabisaukituma nakufa mm
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure