Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Trust me, ukiwa makini mwanamke unamjua tu maana kupretend na kuwa real ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mfano yule wa kujiita sexless angalia mwandiko wake unajua kabisa hili ni dume.
Asante kwa ufafanuzi,boss.
 
Mimi wanakujaga wenyewe pm but I noticed they are all Madanga !
Sasa mm na madanga wapi na wapi japo Alhamdulillah vicent vipo but Wallah sijawahi nunua papuchi na sito.. kamwe.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom