Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

yeah ishawahi nitokea alikuwa anashimba madini mererani Arusha kipindi hiko nilikua chuo si unajua maisha ya chuo nilikua nakula boom plus zela za mgodini Yani niilishi kwa raha sana chuo ukizingatia mimi nilikua mbali plus hajasoma nilimdanganya sana yule kaka... nikikohoa tu muamala kidogo muamala kwakua alikuwa hajasoma ikamfanya asijiamini kabisa bali anatumia pesa zake kama zana pia I didn't love him for real alikuwa mweupee you know most of Arusha pipoz .. tuseme tu inategemea na priorities zangu ni zipi

- kwa Smart911 seriously nilikua napiga teke bakuli la dhahabu mkuu the man is blessed hakuna mfanoooo plus he's gentleman hata ukiongozananae mwenyewe unajishtukia unaona unamtia aibu.. na sometimes alikuwa akiniambia twende out namwambia just go love no problem with me anasema jiamini baby I want to go with you sweetheart .. nakataa no smart ntakutia aibu mambo yako ni next level kashamba mimi sikuwezi ananifata nilipo ananikumbatia kwa nguvuu ananiambia I loved you for who you are mahondaw don't you trust me.. najibu ai duuu ila nenda tu mimi nimebariki kabisa uwe na amani Yani full kujishtukia hahaha

Hahaha... punguza ukorofi mahondaw wangu...
 
Mkuu nieleweshe mfano smart kachoka chalii hana michongo ya pesa kaisha, ile ukimwona humtofautishi na teja, vp hapo malavu lavu yatakuwaje au unaomba mungu yasitokee, maana mungu naye anapenda kweli kutia kidole kwenye maji yaliyotulia

Mi nna case mbili tatu za mdingi alikua anapiga kazi benk kuu alivyotumbuka mama akakimbia na watoto hajazoea kuishi km vile

Case yako vp
 
wengine wana flirt tu hapa JF,wakifunga computer zao ni baba/mama/mume/mke wa mtu...likes zisikuhadae ..mtu anaweza akakukubali kwa points zako na hivyo kukupa likes bila kuwa na maana nyingine Zaidi ya hio like tu...

Talking about flirting....
 
Hahahahaha.. sio kwa Zama hizi.. Ofcourse hapo napo nadhani ndipo nilipopata points nyingine za ziada haha.. Japo haikuwa laki 4 Ilikua chini yahapo ila the man ana mitego na makusudi acha kabisa mbaya zaidi I knew each and everything of him humu jf.. mpaka kwenye Ile kugombana nikawa namwambia kabisa....... Ndoivo Sifa na utukufu apewe yeye aliye juu... Aimeenn!!
Barikiwa maraelfu my Smart911

I like you and i love you... sioni shida kukupa chochote ilihali nakupenda... Hasara roho peke yake pesa ni makaratasi tu mahondaw wangu... nazitafuta na kuzipata ili uzitumie...
 
Back
Top Bottom