Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Nakumbuka sana mahondaw wangu... kwenye maongezi nikakurushia pesa... ukairudisha na maneno makali juu, nikadhani ndogo, nika-ii- double nikakurushia, ukairudisha tena yote... nikabaki natabasamu mwenyewe... nikai-triple tena nikakurushia, ukakaa kimya... nikasema kama kweli huzitaki hizo pesa mpe mtu yoyote au kesho sehemu fulani tuonane unirudishie mkononi...
Daah,hisia kiti cha ajabu sana.
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
We mwanamke umepinda....
 
Hapana mkuu, sijawahi kua mtaalam wa haya mambo!

Mimi ni mwendo wa salamu tu. Mambo? Niambie! Umeamkaje? Umekula? Unafanya nini? Na mengineyo..

Sasa mtu hataki kujuliwa hali anataka nini kingine?

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Kidding....
Ile umekula akijibu bado unamtumia 50k kwanza akale mtoto
 
Back
Top Bottom