Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hehehe em ngoja nikarevise enzi zetu
Hebu nikumbushe lines nilizokutupia ukatepeta....oooops did i say that?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nikumbushe lines nilizokutupia ukatepeta....oooops did i say that?!!
Au hiiKudadeki huu sasa ndio ushujaa ,Hahaha
We baby wewe uuh sorry I mean we Rrondo wewe, nmeona digits nmechanganyikiwaAu hii
Salio jipya 2,347,250. Umetuma 250,000 kwa Evelyn Salt namba 123456.
Hii unahakikisha unamtumia screenshot ya muamala ili ajue yajayo yanafurahisha.
Hapo Mkuu utakua umetisha mnoAu hii
Salio jipya 2,347,250. Umetuma 250,000 kwa Evelyn Salt namba 123456.
Hii unahakikisha unamtumia screenshot ya muamala ili ajue yajayo yanafurahisha.
HahahaWe baby wewe uuh sorry I mean we Rrondo wewe, nmeona digits nmechanganyikiwa
Hio gear number ngapi?We baby wewe uuh sorry I mean we Rrondo wewe, nmeona digits nmechanganyikiwa
Oya fungua pm mi nikija salamu ni ya mwishoMshafanikiwa wazee baba na wazee mama?
Hamna hiyo ni neutral nkiweka gia wiki ijayo tunatambulishanaHio gear number ngapi?
Mserereko....Hamna hiyo ni neutral nkiweka gia wiki ijayo tunatambulishana
Wanaume nao wanafunga PM?Oya fungua pm mi nikija salamu ni ya mwisho
Si ndo hapo sasa, mwanaume kufunga pm ni sawa na kuficha sukariWanaume nao wanafunga PM?
To be honest hili gazeti hata sijalisoma hadi mwisho, nimesoma hapo mwanzoni tu nikajisemea "is he for real"!!! Amka usingizini kumekucha.Upendo wa kweli hauthibitishwi Kwa kumpa pesa binti kipindi mnaanza mahusiano, na ni bora ukawa mkweli tangu mapema Kwa binti na muwazi,njisi utakavyo inshi na binti katika hayo mahusiano usimvute Kwa kutumia pesa ndivyo atakavyo ishi na wewe kioindi hicvbi cha mahusiano ukijifanya una pesa atazipiga haswaa,ukienda kwake ukiwa mkweli ataishi na kukupenda Kutoka kwenye nafsi Yake sio pesa na hamna tofauti na wale wanaokujaga wanalia kuwa wameachwa na maumivu kumbe wamegalamika mnoo Kwa sababu alikuona unazo hakukupenda Bali alifuata pesa, noihayo tu Kwa ufupi
Au tuwaulize mabinti,mabinti hawa hamjawajulia tu na wenyewe wanataka ndoa nzuri ili wawe watulivu ,Eti wakina Dada tuseme ukweli MTU akija akijifanya anapesa na baadae ukagundua kumbe hana,so tayari alishakuongopea? Na nn kinafuata Hapo jamani Wakina Dada lazima apigwwe hela haswa Kwa sababu binti amejua huyu Jamaa,mwongo na atakula hela mwishoe lazima akuache Kwa sababu amejua hufai wewe Mwongo Mabinti wanapenda watu wa kweli hasa Kwa Mabinti wenye malengo na walio Makini
Kifupi tu Mahusiano ya kweli huwa hatutumii nguvu nyingi,Kwa Kutoa miyela mingi Kwa binti. anayefanya hivyo namshauri aache maana Siku zake zinahesabika mabinti wanampenda MTU Mkweli tu,Msiwaone hivyo ukaisi umvute Kwa pesa sawa atakuja kwako Kwa sababu ya pesa lakini sio Kwa upendo wa kweli,Bali Kwa sababu ya hela ngoja ziiishe uone cha moto,mtaleta Uzi humu JF lazima akuteme unajiona hakukupenda ila hela zilimleta au Siku zimepanda tu anasepa zake hata kama unahela bado maana sio chaguo lake wewe
wakweli, sio kufuatwa pm na salamu msururu. Tupige magoti tusali.Mwenyekiti amenipa mawazo hapa, nimeanza maombi ya kufuatwa pm na muamala khaa
Utanisemea kwa nani?Unajua matusi[emoji85]
Nitakusemea.
wakweli, sio kufuatwa pm na salamu msururu. Tupige magoti tusali.
😛😛😛😛😛😛😛To be honest hili gazeti hata sijalisoma hadi mwisho, nimesoma hapo mwanzoni tu nikajisemea "is he for real"!!! Amka usingizini kumekucha.
Yaani acha kabisa.Salamu hadi unakoma mwenyewe,
Hizo ngonjera za karudi baba mmoja na uzee huu wapi na wapi!!!😛😛😛😛😛😛😛