Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Upendo wa kweli hauthibitishwi Kwa kumpa pesa binti kipindi mnaanza mahusiano, na ni bora ukawa mkweli tangu mapema Kwa binti na muwazi,njisi utakavyo inshi na binti katika hayo mahusiano usimvute Kwa kutumia pesa ndivyo atakavyo ishi na wewe kioindi hicvbi cha mahusiano ukijifanya una pesa atazipiga haswaa,ukienda kwake ukiwa mkweli ataishi na kukupenda Kutoka kwenye nafsi Yake sio pesa na hamna tofauti na wale wanaokujaga wanalia kuwa wameachwa na maumivu kumbe wamegalamika mnoo Kwa sababu alikuona unazo hakukupenda Bali alifuata pesa, noihayo tu Kwa ufupi
Au tuwaulize mabinti,mabinti hawa hamjawajulia tu na wenyewe wanataka ndoa nzuri ili wawe watulivu ,Eti wakina Dada tuseme ukweli MTU akija akijifanya anapesa na baadae ukagundua kumbe hana,so tayari alishakuongopea? Na nn kinafuata Hapo jamani Wakina Dada lazima apigwwe hela haswa Kwa sababu binti amejua huyu Jamaa,mwongo na atakula hela mwishoe lazima akuache Kwa sababu amejua hufai wewe Mwongo Mabinti wanapenda watu wa kweli hasa Kwa Mabinti wenye malengo na walio Makini

Kifupi tu Mahusiano ya kweli huwa hatutumii nguvu nyingi,Kwa Kutoa miyela mingi Kwa binti. anayefanya hivyo namshauri aache maana Siku zake zinahesabika mabinti wanampenda MTU Mkweli tu,Msiwaone hivyo ukaisi umvute Kwa pesa sawa atakuja kwako Kwa sababu ya pesa lakini sio Kwa upendo wa kweli,Bali Kwa sababu ya hela ngoja ziiishe uone cha moto,mtaleta Uzi humu JF lazima akuteme unajiona hakukupenda ila hela zilimleta au Siku zimepanda tu anasepa zake hata kama unahela bado maana sio chaguo lake wewe
To be honest hili gazeti hata sijalisoma hadi mwisho, nimesoma hapo mwanzoni tu nikajisemea "is he for real"!!! Amka usingizini kumekucha.
 
Back
Top Bottom