Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Huyo si ana kesi ya sembe yeye na mumewe
Kuna huyu Shamimu Mwasha, yeye alianza kuwa mpiga picha tu ila baada ya kuolewa na jamaa fulani mjanja wa mjini ghafla akawa tajiri na kudanganya wanawake wenzake juu ya vikoba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifuata fumular atakayebaki ni Mungu tu aamue asiamie ila kama ukipata pesa unanunua supu tu huangaiki na kupata backup utakula aisikilimu hadi uzee.
 
Overrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.

Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...
nice one start buttom
 
Fanya wewe kama wewe sio kusikia kwa kudanganywa na watu wanaosema nilianza na mtaji wa laki sijui maisha ni polepole,sijui kidogo ndio kingi..n.k.!?

Hii ni picha ya babu wa Aliko Dangote, Sanusi Dantata. Alikuwa mmoja wa matajiri zaidi nchini Nigeria, katika miaka ya 70.

Pia Baba wa Dangote pia alikuwa tajiri barani Afrika mnamo 1955

Aliko Dangote alizaliwa katika familia ya bilionea, usiruhusu msemaji yeyote wa motisha akuue. Unajaribu wewe sio kudanganyika na hao.View attachment 1226392

Tuweke uwiano wa mada, wakati wewe umekuja na kichwa cha habari ati "JINSI WENYE MAFANIKIO WANAVYO TUDANFANYA" wao walishaandika tayari "JINSI WASIO NA MAFANIKIO WANAVYOJIDANGANYA".

Tayari kuna two school of thought, ubaya wa wasio na mafanikio wao wanahisi hawana cha kujifunza ama cha kuiga kutoka kwa wenye mafanikio, ndo hapo unasikia kauli kama hiyo uliyoandika ati, "fanya wewe kama wewe..."

Wenye mafanikio wao wanatumia matatizo ya wasio na mafanikio na ujinga wao ili kuendeleza utajiri, kimsingi wao wanajifunza mengi.

Moja tabia ya wasio na mafanikio ni kutafuta sababu za kushindwa ama za kutokufanya jambo fulani kwa kiwango fulani yaani excuses ndo hapo mtu anasema, "yule baba yake alikuwa bilionea..." Ilihali wenye mafanikio wenyewe siku zote wanatafuta suluhu ya tatizo, hapo ndipo utasikia kauli zao, "anza na kidogo...".

Wasio na mafanikio hawataki mawazo mazuri wao wanahisi ni pesa tu itafanya watoboe.
 
Back
Top Bottom