Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Huyo si ana kesi ya sembe yeye na mumewe
Kuna huyu Shamimu Mwasha, yeye alianza kuwa mpiga picha tu ila baada ya kuolewa na jamaa fulani mjanja wa mjini ghafla akawa tajiri na kudanganya wanawake wenzake juu ya vikoba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifuata fumular atakayebaki ni Mungu tu aamue asiamie ila kama ukipata pesa unanunua supu tu huangaiki na kupata backup utakula aisikilimu hadi uzee.
 
nice one start buttom
 

Tuweke uwiano wa mada, wakati wewe umekuja na kichwa cha habari ati "JINSI WENYE MAFANIKIO WANAVYO TUDANFANYA" wao walishaandika tayari "JINSI WASIO NA MAFANIKIO WANAVYOJIDANGANYA".

Tayari kuna two school of thought, ubaya wa wasio na mafanikio wao wanahisi hawana cha kujifunza ama cha kuiga kutoka kwa wenye mafanikio, ndo hapo unasikia kauli kama hiyo uliyoandika ati, "fanya wewe kama wewe..."

Wenye mafanikio wao wanatumia matatizo ya wasio na mafanikio na ujinga wao ili kuendeleza utajiri, kimsingi wao wanajifunza mengi.

Moja tabia ya wasio na mafanikio ni kutafuta sababu za kushindwa ama za kutokufanya jambo fulani kwa kiwango fulani yaani excuses ndo hapo mtu anasema, "yule baba yake alikuwa bilionea..." Ilihali wenye mafanikio wenyewe siku zote wanatafuta suluhu ya tatizo, hapo ndipo utasikia kauli zao, "anza na kidogo...".

Wasio na mafanikio hawataki mawazo mazuri wao wanahisi ni pesa tu itafanya watoboe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…