DYLM future billionaire
Member
- Dec 28, 2015
- 69
- 149
Kweli shule inakupa jawabu la kutoa ujinga tu sio UTAJIRI NA MAISHA MAZURI.Shule ni jawabu la ujinga wote
Kwani shigongo kaazaje tujuzeni...nasikia naye katokea familia maskini isiyokuwa hata na kuku...Ila leo at least anazo.Tukomae tusidanganywe na story za akina Mauki na Shigongo (Motivation speakers)
Mfuruki alisema utajiri kuna bahati pia
Mfuruki ndio alisema akihojiwa CMG...tafuta clipUwongo wa karne huu!
Unavyoongea as if he was ur business partner...the rich wana alot of businesses 'behind the scene'Mengi alianza na Ball point pen na mtaji wa kwanza ulikuwa Idea wapili negotiation na wazalishaji pen walivyokubakiana wa import mzigo faida ikisomeka awawsilishie pesa.
watoto wa juzi hawajui hiloNdio tena kwa miaka 14 akiwa mkurugenzi
I have a brother who was selling sweets sasa hivi nui Bilionea. The issue here is not how much you make but how much you save.
Angalau hii comment imerudisha matumaini yangu ANZA NA ULICHONACHOOverrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.
Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...
nime bold hapoThe issue here is not how much you make but how much you save
Umejuaje mkuu ina Maana una info zao au una imagine 😁😁😁Hakuna bilionare yoyote duniani ambae hajacheza na system
Nina hakika ulichokiandika hapa hautopendwa kamwe humuTuweke uwiano wa mada, wakati wewe umekuja na kichwa cha habari ati "JINSI WENYE MAFANIKIO WANAVYO TUDANFANYA" wao walishaandika tayari "JINSI WASIO NA MAFANIKIO WANAVYOJIDANGANYA".
Tayari kuna two school of thought, ubaya wa wasio na mafanikio wao wanahisi hawana cha kujifunza ama cha kuiga kutoka kwa wenye mafanikio, ndo hapo unasikia kauli kama hiyo uliyoandika ati, "fanya wewe kama wewe..."
Wenye mafanikio wao wanatumia matatizo ya wasio na mafanikio na ujinga wao ili kuendeleza utajiri, kimsingi wao wanajifunza mengi.
Moja tabia ya wasio na mafanikio ni kutafuta sababu za kushindwa ama za kutokufanya jambo fulani kwa kiwango fulani yaani excuses ndo hapo mtu anasema, "yule baba yake alikuwa bilionea..." Ilihali wenye mafanikio wenyewe siku zote wanatafuta suluhu ya tatizo, hapo ndipo utasikia kauli zao, "anza na kidogo...".
Wasio na mafanikio hawataki mawazo mazuri wao wanahisi ni pesa tu itafanya watoboe.
Unavyoongea as if he was ur business partner...the rich wana alot of businesses 'behind the scene'
Tuweke uwiano wa mada, wakati wewe umekuja na kichwa cha habari ati "JINSI WENYE MAFANIKIO WANAVYO TUDANFANYA" wao walishaandika tayari "JINSI WASIO NA MAFANIKIO WANAVYOJIDANGANYA".
Tayari kuna two school of thought, ubaya wa wasio na mafanikio wao wanahisi hawana cha kujifunza ama cha kuiga kutoka kwa wenye mafanikio, ndo hapo unasikia kauli kama hiyo uliyoandika ati, "fanya wewe kama wewe..."
Wenye mafanikio wao wanatumia matatizo ya wasio na mafanikio na ujinga wao ili kuendeleza utajiri, kimsingi wao wanajifunza mengi.
Moja tabia ya wasio na mafanikio ni kutafuta sababu za kushindwa ama za kutokufanya jambo fulani kwa kiwango fulani yaani excuses ndo hapo mtu anasema, "yule baba yake alikuwa bilionea..." Ilihali wenye mafanikio wenyewe siku zote wanatafuta suluhu ya tatizo, hapo ndipo utasikia kauli zao, "anza na kidogo...".
Wasio na mafanikio hawataki mawazo mazuri wao wanahisi ni pesa tu itafanya watoboe.
U seem immature..so siwezi bishana na weweEndelea kujidanganya..sio wote
Overrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.
Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...
Mmh jamani pipi hizi hizi alikuwa anasave kwa njia ipi mpya please share