Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Ila bado ni bora, maana si wote waliopata urithi walifanikiwa, wengi ziliwaishia mapema.
 
Mengi alianza na Ball point pen na mtaji wa kwanza ulikuwa Idea wapili negotiation na wazalishaji pen walivyokubakiana wa import mzigo faida ikisomeka awawsilishie pesa.
Unavyoongea as if he was ur business partner...the rich wana alot of businesses 'behind the scene'
 
Mie yupo namfahamu mwingine yupo kwa oilcome pale mwananchi. Ila aliandika kwenye gari yake "winning is not that easy"
I have a brother who was selling sweets sasa hivi nui Bilionea. The issue here is not how much you make but how much you save.
 
Overrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.

Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...
Angalau hii comment imerudisha matumaini yangu ANZA NA ULICHONACHO
 
we usijiangalie unapoenda na ulipotoka

kaa kuangalia flani katokaje na yuko wapi
 
Tuweke uwiano wa mada, wakati wewe umekuja na kichwa cha habari ati "JINSI WENYE MAFANIKIO WANAVYO TUDANFANYA" wao walishaandika tayari "JINSI WASIO NA MAFANIKIO WANAVYOJIDANGANYA".

Tayari kuna two school of thought, ubaya wa wasio na mafanikio wao wanahisi hawana cha kujifunza ama cha kuiga kutoka kwa wenye mafanikio, ndo hapo unasikia kauli kama hiyo uliyoandika ati, "fanya wewe kama wewe..."

Wenye mafanikio wao wanatumia matatizo ya wasio na mafanikio na ujinga wao ili kuendeleza utajiri, kimsingi wao wanajifunza mengi.

Moja tabia ya wasio na mafanikio ni kutafuta sababu za kushindwa ama za kutokufanya jambo fulani kwa kiwango fulani yaani excuses ndo hapo mtu anasema, "yule baba yake alikuwa bilionea..." Ilihali wenye mafanikio wenyewe siku zote wanatafuta suluhu ya tatizo, hapo ndipo utasikia kauli zao, "anza na kidogo...".

Wasio na mafanikio hawataki mawazo mazuri wao wanahisi ni pesa tu itafanya watoboe.
Nina hakika ulichokiandika hapa hautopendwa kamwe humu
 
Ww ni kati ya watu adimu sn hapa Tzee..!
 
Overrated ume genelize sana, mbona mifano ya walioanza chini wapo kibao Regnarld Mengi kaanza from Zero kabisa Mamayake alikuwa muuza mboga tu, MarkZuck, Elon Musk kaanza Zero kaanza Zero, hapa Tz wakina Bruno Smartcode wameanza Sayansi. Pia usifosi kuangalia ma Billionaire iyo level kubwa sana vijana kibao umewashuhudia kwa macho yako wanatoka form Zero kabisa DIAMOND PLATNUM.. Mifano ipo mingi.

Kunzia chini inawezekana ukapanda mdogomdogo ila njiani utakutana na backup mbalimbali/nyingi zitakazo ku-push kwenda fasta na safari yako ila ukikaa tu bila kuanza izo backup hutozisikia mfano Harmonize ameanzia chini ila kwenye njia amepata Backup kutoka kwa MOND ukiwa na resources zinazokuwezesha kuanza anza mkuu...

Nadhani mifano yk ina mkanganyiko.
MOND, HARMONIZE Wameingiaje? Mkuu
Mafananiko ya hawa jamaa ni yakawaida auwezi kufananisha na MENGI..
 
Mmh jamani pipi hizi hizi alikuwa anasave kwa njia ipi mpya please share

Ndugu yangu kuna visites vingi sn vinafundisha jinsi ya kusave .tembelea mitandaoni km una nia utaweza....mimi pia najifunza kusave ingawa najipa km 70% nimeweza...ni kujitoa haswa wnasema tumia 1|3 then 1|3 kusave 1|3 kuitumia kibiashara....ukifanikiwa hvyo unafika mbal
 
Back
Top Bottom