Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Kwahiyo ukisave tu unakuwa bilionea. [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kunywa Ndovu baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ukisave tu unakuwa bilionea. [emoji23][emoji23][emoji23]
Konde boy alianzia chini, sa ivi anagawa hela jukwaani.
Pia Makonda kuna picha za zamani alikua choka mbaya sa ivi yuko hapo alipo.
The Masanja na wenzake walikua choka mbaya, sa ivi wana magari ya kubadilisha kuanzia jumapili mpaka jumaosi.
Tatizo hapo katikati huwa hatuambiwi ukweli walifanyaje, labda mfano kujipendekeza kwa wakubwa, kuuza unga, walisoma elimu ya juu zaidi, walienda kanisani na kuombewa etc. huwa hawatamki kabisa, ili na sisi tuwe matajiri.
Upo sahihi kabisa!kuna mtu alishawahi kuniambia, katika nchi zetu hizi za kiafrica ukitaka kuwa tajiri haswa, tajiri kwelikweli lazima ashiriki moja ya mambo haya ili kumuwezesha kufika huko.
1. Rushwa,Ufisadi/wizi wa mali za umma/kampuni
2. Kukwepa kodi, Biashara za magendol/Haramu
3. Ushirikina
4. Kurithi mali
Hizi zingine ni porojo tu za mdomoni
Moja ya kauri ya kijinga ni hii ya taranta, hakuna anayezaliwa na taranta ya Biashara ila tunapata kila Day wanaibuka wafanya Biashara wenye njaa na ubunifu kwasababu ya njaa ya pesa.Siri kubwa ya kufanikiwa ni kugundua talanta yako na itumie ikuletee mafanikio. Wengi mnafeli sababu mnataka kufuata vitu ambavyo by nature hauko talented. Kama ambavyo Dangote hawezi kuwa footballer mkubwa ndivyo sawa na wewe hutoweza kuwa Dangote katika biashara.
Kuna watu utawasikia eti mbona Bill Gates aliacha shule unaanza kumwambia ukweli usiseme shule sema Havard. Chuo cha watu wenye hela na wenye akili na siyo kwamba aliacha shule aliishindwa ila aliacha kwakua aliona anachokitaka yeye kifundishwe hakikuepo, kwahiyo ni shule ilimshindwa yeye siyo yeye aliishindwa shule.
Sasa kijana unapata division zero shule ya kata ukiambiwa rudi darasani utetezi wako ni Bill Gates naye hakusoma, pumbavu.
Rudia kusoma nilichoandikaSiri kubwa ya kufanikiwa ni kugundua talanta yako na itumie ikuletee mafanikio. Wengi mnafeli sababu mnataka kufuata vitu ambavyo by nature hauko talented. Kama ambavyo Dangote hawezi kuwa footballer mkubwa ndivyo sawa na wewe hutoweza kuwa Dangote katika biashara.
Izo karama zinakuja kwaaliye fanya izo njia kwa ufanisi ndio anapewa nafasi ya kuwa tajiri au asiwe tajiri, ila kama umekaa bila kufatisha chaguo lako linakuwa moja kukosa tu.utajiri ni KARAMA, asikudanganye mtu, HATA ukopi maarifa aliyofanya tajiri fulani kwa asilimia 100% haikuhakikishii kufankikiwa hata kwa 1 %, , hata ukopi maneneo ya '' motivational speaker '' kwa 100% na kuyafanyika kazi, hayakuhakikishii kufanikiwa hata kwa 1 %,
Connect hadi SUKITA.Hapo sasa,connect the dots...
KabisaKatika utajiri wa watu wengi,kuna msukumo wa namna flani uliowawezesha kufika hapo walipo,lakini sio mapambano tu ya kawaida,mfano mtu kaiba hela serikalini katajirikia halafu mwisho wa siku anataka kusadikisha watu kuwa alifuata rules flani ndio maana kawa tajiri...
Mmh[emoji849][emoji2957]Mimwenyewe nilianzia kuuza vitumbua,mwisho wa siku nikatoboa ila nibaada ya kupata kibarua cha kuosha magari kwenye kampuni moja kubwa....nikafanya yangu fasta uongo dhambi mpaka leo naishi kama malaika
[emoji16][emoji16]Utajiri una siri nyingi ndo maana si kila mtu ni tajiri. Umasikini hauna siri
Unaota shost[emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji16]Naamini ipo siku biashara yangu ya uuzaji asikirimu nitakua Kama bakhera...[emoji12]