Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

Ndugu yangu kuna visites vingi sn vinafundisha jinsi ya kusave .tembelea mitandaoni km una nia utaweza....mimi pia najifunza kusave ingawa najipa km 70% nimeweza...ni kujitoa haswa wnasema tumia 1|3 then 1|3 kusave 1|3 kuitumia kibiashara....ukifanikiwa hvyo unafika mbal
Ku save kunahitaji nidhamu sana na ndio maana wengi inawashinda
 
Kuna utajiri wa kurithi na utajiri wa kutafuta. Kama baba yako si tajiri option uliyobakiwa nayo ni kutafuta tu. Kwenye kutafuta inategemeana na mtu, hakuna formula maana kila mtu angeandikiwa aifuate. Kwani hao babu zake walitoa wapi?
 
Mimwenyewe nilianzia kuuza vitumbua,mwisho wa siku nikatoboa ila nibaada ya kupata kibarua cha kuosha magari kwenye kampuni moja kubwa....nikafanya yangu fasta uongo dhambi mpaka leo naishi kama malaika
Hahahahaha ukafanya yako yapi Mkuu?
 
Ndugu yangu kuna visites vingi sn vinafundisha jinsi ya kusave .tembelea mitandaoni km una nia utaweza....mimi pia najifunza kusave ingawa najipa km 70% nimeweza...ni kujitoa haswa wnasema tumia 1|3 then 1|3 kusave 1|3 kuitumia kibiashara....ukifanikiwa hvyo unafika mbal
⅓ ndo ipoje mkuu
 
Mimwenyewe nilianzia kuuza vitumbua,mwisho wa siku nikatoboa ila nibaada ya kupata kibarua cha kuosha magari kwenye kampuni moja kubwa....nikafanya yangu fasta uongo dhambi mpaka leo naishi kama malaika
ngoja mkuu wa malaika akusikie atakushukia ulipo
 
Back
Top Bottom