Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

Nimekubali brother ukijua kucheza na schematic diagrams na kuzielewa components mambo si magumu hasa kwa sasa teknolojia ilipofika.

Ila kuna jamaa wana mambo ya kipumbavu sana sasa unakata waya ili iweje yani Africa bana ni basi tu.

Kukata wire ni kitu kimoja...

Usiombe mtu aswap wires kwenye gari yako....

Ni disaster.
 
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu wewe ni bonge la fundi. Binafsi huwa sipendi mafundi wanaotoa solution haraka.
Gari yangu ilikosa nguvu ikawa inaishia speed 60. Nikapeleka kwa fundi akaninunulisha fuel pump mpya kutest hakuna mabadiliko, akaanza kufuatilia kwa kuchomoa oxygen sensor gari ikawa na nguvu akasema sega limezima, nliishia kupigwa sega kija kuuliza nikaambiwa huwa yanasafishwa ila fundi aliniambia ukisafisha linaziba tena
 
Hiyo diagram hapo juu Kwa mafundi wa mtaani ni usiku wa Giza Tu...
Hata hivyo umeokoa pesa nyingi Sana kwenye matengenezo ya hiyo gari maana Kama angeagiza oxygen sensor mpya bado taa ingeendelea kuwaka Tu.

Big up mkuuuu!!!!
Hahaha hizo diagrams kama una ABC ya schematic reading unabaki kuona kama ramani tu kiukweli jamaa yupo vizuri kwa alivyoanza ku troubleshoot hadi kugundua shida ni wire kukatwa ilihitaji utulivu. Vinginevyo kama ulivyosema Sensor mpya ingeletwa na bado ingeindicate tatizo.
 
Aiseee pole mkuu....

0621 221 606.
 
Sijaelewa kitu bado.

Lengo la kumfanyia huo uharibifu wao wangenufaika vipi?

okay labda nirudie tena.

Wewe umempelekea mtu gari yako ambayo uliingia nayo kwenye maji, aifungue ndani akukaushie viti na makapeti.

Umeenda nayo ukiwa unaiendesha, haina tatizo na haijawasha taa yoyote.

Baadae unaenda kuchukua gari inawaka check engine.

Unaamua kuwarudishia,

Wanaingalia wanakuambia shida ni control box imeloa na inatakiwa kukaushwa na bei ya kukausha ni 150,000/=.

Unaamua kuachana nao na kutafuta fundi mwingine, ambaye anakuja kugundua hiyo check engine inawaka kwa sababu kuna wire umekatwa....(tena umekatwa na kitu sharp kama mkasi au kisu).

Mpaka hapo nadhani umenielewa.

Rudia maneno niliyobold.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…