Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

hapana hujanielewa.nimemjibu huyo jamaa hapo uu kuwa watu watapigwa tuu coz hakuna fundi anae weza Mambo yote..mwingine anadili na gia box tuu mwingine ingene tuu

mwingine mfumo wa umeme tuu. huwezi kuwa fundi wakila kitu kwenye gari labna unaweza ukawa na uelewa tuu wakutambua matatizo mbalimbali
 
huwezi kuwa fundi wakilakutu ndio Mana nikasema watu watapigwa tuu coz lazima wakutane namafundi aina mbalimbali.sababu hata mziba pancha nifundi anaweza kukupiga tuu🀣🀣
 
Kuna watu anapeleka gari kupiga rangi bampa halafu linarudi linamisi halafu anarelax tu....
kuna muda inaweza tokea
mfano mm juz kati nilipeleka gar kupigwa rangi nilikuepo muda wote wa tukio saa naondoka nikasikia sauti kwenye engine mlio wa belt inapiga kelele nisingekuepo ningewaza nimepigwa
in short hakikisha siku unapeleka gar kwa fundi umepata muda wa kutosha sio unapeleka una ishu zako unawah uwaachie unless apo unapoiacha gar ni kampuni kubwa haina makanjanja zipo sehemu watu wanaacha magar na kuna usalama hamna shida ila ni chache sanaaa
na kuna sehemu unakuta umeenda na tatizo la gar yako unaona wanataka wachukue kitu kwenye gar nyingine ulioikuta apo wakuwekee apo paogope paogope kbsaa na ww ukiwa haupo watachukua kifaa chako waweke kwa mungine
 
mfano sensor ina wire 4, anaamua kuzibadili, wire uliokuwa huku anaweka huku, wa huku anaweka huku,

Hiyo inasumbua sana kuja kuzirudisha hizo wire.....
Huo mchezo upo sana kama una tabia ya kubadilisha mafundi.
 
Anakata wire ili baadae ukija kunotice tatizo si utarudi kwake?

Hapo ndio atakupiga hela,

Na asikudanganye mtu, hakuna matatizo magumu kufix kama matatizo ambayo mtu alikaa akalitengeneza, yanasumbua mno....
Tatizo la kutengenezwa ni gumu sababu mtu anakuwa anajua way out so ataangalia njia ambazo hamtaweza kutatua hadi yeye mwenyewe aamue kutatua.
 
Kuna watu anapeleka gari kupiga rangi bampa halafu linarudi linamisi halafu anarelax tu....
Hayo yamenikuta gereji ya magomeni hapo popobawa. Gari imeenda nzima kunyooshwa imerudi kitasa kimoja kibovu, kioo kinashuka nusu, haipigi jino moja sahizi ni cycle kama 4 hadi 6 ndio inawaka. They fucked my car kwa kuilaza hapo only 3 days.

Ati fundi anakwambia braza gari naona haiwaki sijui itakuwa mafuta. Niliwaambia kauli moja tu kuwa ilikuja inatembea hapo na itarudi inatembea. 🀣🀣🀣🀣 🀣
 
Umetumia akili sana kujitangaza kuwa wewe ni fundi wa Euro cars.
Hongera sana mkuu. Nimekukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…