secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yaani siku hizi wanamke akipita mbele ya wanaume bila wimbo, "singida Dodoma" kusindikiza hatua zake, basi mambo kadhaa lazima yatokee.
1. Atakumbilia uturumia (kama ana pesa).
2. Atapatwa na msongi wa mawazo na kushindwa kujiamini akatizapo mbele za watu na hivyo atajifungia ndani n.k.
Hivyo basi, katika kipindi hiki ambacho makebo yanarun Dunia basi wanawake wanatakiwa kisisitzwa kujikubali vile walivyo.
Ni hayo tu kwa leo.
leo dada.