Jinsi wimbo, "Singida Dodoma" ulivyogeuka mwiba mkali kwa wanawake wasio na makebo makubwa

Jinsi wimbo, "Singida Dodoma" ulivyogeuka mwiba mkali kwa wanawake wasio na makebo makubwa

Jamiiforums imekataza matumizi ya neno makebo kumaanisha tako mkuu. Hivyo, unapolitumia neno makebo kuwa mwangalifu aisee!

Utapigwa ban ya maisha 😂
Unaona Tundu lisu anavyowauliza mashahidi wake maswali? ndio wewe ulichonifanyia hapa 🤣🤣🤣
Lazma tuwe waangalifu kulitafsiri neno makebo katika maana yake.🤣🤣
 
Unaona Tundu lisu anavyowauliza mashahidi wake maswali? ndio wewe ulichonifanyia hapa 🤣🤣🤣
Lazma tuwe waangalifu kulitafsiri neno makebo katika maana yake.🤣🤣
Muda mfupi uliopita ndo nimetoka kwenye kikao Cha dharura na uongozi mzima wa JF. Wameniambia neno hili lisitumike vibaya humu.

Yawezekana mwenye jina lake amepatwa na depression kisa jina lake.
 
Muda mfupi uliopita ndo nimetoka kwenye kikao Cha dharura na uongozi mzima wa JF. Wameniambia neno hili lisitumike vibaya humu.

Yawezekana mwenye jina lake amepatwa na depression kisa jina lake.
🤣🤣 Sauti ya wengi inasema Too late....
Any way watu wataona kadri inavyowafaa
 
🤣🤣 Sauti ya wengi inasema Too late....
Any way watu wataona kadri inavyowafaa
Sema sauti ya wengi ni sauti ya mungu. Watu wakisema neno MAKEBO Lina maana hii huwezi kuwazuia bhana! Au siyo?
 
Unachonifurahisha ni Confidence uliyonayo pia katika hili, Wala hujifichi kabisa wallah ile Reply ilinichekesha sana nikamuonyesha ba mtu🤣🤣🤣
Sasa ukikosa confidence utafanyaje maamuzi magumu?
Mara nyingi wanawake wanahitaji mwanaume serious
Kwenye kuongea na kwenye kutenda.
 
Back
Top Bottom