Unaona Tundu lisu anavyowauliza mashahidi wake maswali? ndio wewe ulichonifanyia hapa π€£π€£π€£Jamiiforums imekataza matumizi ya neno makebo kumaanisha tako mkuu. Hivyo, unapolitumia neno makebo kuwa mwangalifu aisee!
Utapigwa ban ya maisha π
Unachonifurahisha ni Confidence uliyonayo pia katika hili, Wala hujifichi kabisa wallah ile Reply ilinichekesha sana nikamuonyesha ba mtuπ€£π€£π€£Experience tu mkuu,,baada ya kukutana na challenge tofauti tofauti kwenye hizi harakati..
Muda mfupi uliopita ndo nimetoka kwenye kikao Cha dharura na uongozi mzima wa JF. Wameniambia neno hili lisitumike vibaya humu.Unaona Tundu lisu anavyowauliza mashahidi wake maswali? ndio wewe ulichonifanyia hapa π€£π€£π€£
Lazma tuwe waangalifu kulitafsiri neno makebo katika maana yake.π€£π€£
π€£π€£ Sauti ya wengi inasema Too late....Muda mfupi uliopita ndo nimetoka kwenye kikao Cha dharura na uongozi mzima wa JF. Wameniambia neno hili lisitumike vibaya humu.
Yawezekana mwenye jina lake amepatwa na depression kisa jina lake.
Sema sauti ya wengi ni sauti ya mungu. Watu wakisema neno MAKEBO Lina maana hii huwezi kuwazuia bhana! Au siyo?π€£π€£ Sauti ya wengi inasema Too late....
Any way watu wataona kadri inavyowafaa
Sisi tulio wengi, Tupo na wewe...π€£π€£π€£Sema sauti ya wengi ni sauti ya mungu. Watu wakisema neno MAKEBO Lina maana hii huwezi kuwazuia bhana! Au siyo?
Haya nini maana ya makebo? πSisi tulio wengi, Tupo na wewe...π€£π€£π€£
Sisi wasimbiti (Serengeti na tarime) tunaitamatak kisimbiti makebooHaya nini maana ya makebo? π
Maana yake ni nini?Sisi wasimbiti (Serengeti na tarime) tunaitamatak kisimbiti makeboo
Sasa ukikosa confidence utafanyaje maamuzi magumu?Unachonifurahisha ni Confidence uliyonayo pia katika hili, Wala hujifichi kabisa wallah ile Reply ilinichekesha sana nikamuonyesha ba mtuπ€£π€£π€£
hahahahahTafadhali nawasihi mjikubali vile mlivyo Seran, BICHWA KOMWE, ShesRise_1, Kubwa la Maadui, Dr. Mariposa, masai dada, Miss Halima, Joannah, BRAZA CHOGO, ang, Mallerina, Da Dona, Shunie Sky Eclat, bro Evelyn Salt list ni ndefu mno.
Pia muwaambia kabisa mabinti zenu huu ujumbe kutokankwa Ayatollah wa JF π.