Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuMkuu kwanini usiende kuflash hiyo simu,unataka mafundi tule wapi ?
Sawa mkuuUpo wapi mkuu..
Kwa haraka hizo gharama unaweza kuweka kifurushi cha data,ukaingia youtube kujifunza ,zile video zinaonesha cha kufanya kwa kia hatua.
Natamani kuandika lakini inachukua muda sana kuiweka kwa mfumo wa maandishi ili usome na uelewe..
Ingia youtube search ku baypass iyo nokia 1..
ukimaliza hapo search ku remove frp kwa nokia 1