Duh,yawezekana nina proffessional cheater nini?????
ladies,kazi tunayo.......l.o.l
asante mkuu sasa nikiona umakini wa mwanaume,namfuatilia kiinteligensia zaidi.......kazi kweli kweli!!!
www.jamiiforums.com/mahusiano-mapen...sheria-mama-za-infidelity-38.html#post1396763 www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/75585-how-to-prevent-infidelity-14.html#post1124835 www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/74108-rules-to-help-you-cheat-on-your-spouse.html www.jamiiforums.com/mahusiano-mapen...naweza-kuwa-kweli-huku-kwetu.html#post1034622 There..na nyingine nyingi tu!
Duh,yawezekana nina proffessional cheater nini?????
ladies,kazi tunayo.......l.o.l
asante mkuu sasa nikiona umakini wa mwanaume,namfuatilia kiinteligensia zaidi.......kazi kweli kweli!!!
Kwa kua mama watoto wangu ananipenda sana,na kwa kua nami nampenda sana,na kwa kua tumeahidi kuishi pamoja hadi siku ya kiama,na kwa kua hajawahi kunitenda hiyana naomba haya ya kucheat yabaki hekaya tu kwenye kumbu kumbu zangu....mkuu Allien naomba mwongozo wako!
4. Hakikisha unaandaa hadithi nzuri au excuses ambazo zinafanana na ukweli na usishau hata kimoja. One mistake, one goal.
Binadamu tu wadhaifu sana, hakuna aliyekamilika. Ni kazi ngumu sana kutimiza hayo masharti. Siku zote "ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu". Tatizo kubwa lililopo kwa wanaocheat, ni kusahau uwongo waliosema!
Mkuu sana Allien...nilitamani sana kumfuatilia mwandani wangu kila unyayo ila nilikwama baada ya kugundua uadilifu wangu unastahili kupaliliwa kwa muda mrefu angalau kufikia robo ya uadilifu wake. Kwa kutambua hilo nimejitahidi sana kubadilika ili kuendana na mama watoto wangu of whom najihesabu km life time achiever kwa kumpata yeye kwa kua kwake naamini najifunza mengi mazuri kuliko anayojifunza kwangu ..