Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Duh,yawezekana nina proffessional cheater nini?????
ladies,kazi tunayo.......l.o.l
asante mkuu sasa nikiona umakini wa mwanaume,namfuatilia kiinteligensia zaidi.......kazi kweli kweli!!!

Mwenzangu usichokonoe sana unaweza kukuta majimambo ukaishiwa hamu na hawa binadamu
 
hivi hizi cheating zitaisha kweli?maana jf nimejifunza mengi ambayo bila ya jf kwa kweli ningekuwa zuzu kwenye haya mambo ya infidelity.maana hata wa kumuanini simjui,at least baadhi ya watu humu huwa wawazi.
 
Katika zote kabisa nimependa hii sana....

12. Kama ni lazima kutumia simu yako, usitumie maneno ya hisia ya mapenzi mfano “Nimekumiss sana”; “It was so sweet” nk. Badala yake tumia coded language mfano; “Nimekumiss sana = Network hakuna” au “It was so Sweet = Chakula Kilikuwa Kitamu” nk. Kuwa mbunifu.​
 
Duh,yawezekana nina proffessional cheater nini?????
ladies,kazi tunayo.......l.o.l
asante mkuu sasa nikiona umakini wa mwanaume,namfuatilia kiinteligensia zaidi.......kazi kweli kweli!!!

Please usifikirie huko vinginevyo hutakuwa na mpenzi. Ila ni muhimu kujua.

Soon tutajadili jinsi ya kuacha kucheat au kumfanya mwenzako aache. Na kama hawaelewi basi jinsi ya kupata ushahidi.

Ni full package mpaka kieleweke.

Yote kwa nia nzuri.

A.
 
Kwa kua mama watoto wangu ananipenda sana,na kwa kua nami nampenda sana,na kwa kua tumeahidi kuishi pamoja hadi siku ya kiama,na kwa kua hajawahi kunitenda hiyana naomba haya ya kucheat yabaki hekaya tu kwenye kumbu kumbu zangu....mkuu Allien naomba mwongozo wako!
 
4. Hakikisha unaandaa hadithi nzuri au excuses ambazo zinafanana na ukweli na usishau hata kimoja. One mistake, one goal.

Binadamu tu wadhaifu sana, hakuna aliyekamilika. Ni kazi ngumu sana kutimiza hayo masharti. Siku zote "ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu". Tatizo kubwa lililopo kwa wanaocheat, ni kusahau uwongo waliosema!
 
Busara tupu hizo Mkuu. Supported 100%.

Hata ukimfumania mwenzio haina maana kuwa hakupendi. Affairs sometimes they are not meant LOVE bali TAMAA tu.

So, hata ukijua make a peace na mwenza wako na maisha yasonge mbele. We will have a special discussion on that i.e. J"insi ya Kuishi na Kurudisha mapenzi na uliyemfumania".

Mpaka kieleweke.
 
4. Hakikisha unaandaa hadithi nzuri au excuses ambazo zinafanana na ukweli na usishau hata kimoja. One mistake, one goal.

Binadamu tu wadhaifu sana, hakuna aliyekamilika. Ni kazi ngumu sana kutimiza hayo masharti. Siku zote "ukiwa mwongo, usiwe msahaulifu". Tatizo kubwa lililopo kwa wanaocheat, ni kusahau uwongo waliosema!

Professional Cheaters hawasahau Mkuu, na wanajiandaa na hizo stories mapema.

Tena ingekuwa kwa nchi za wenzetu zipo hadi supporting agencies kwa ajili ya ku-kucover. wanaweza kukupa hadi Alibi ticket ya Ndege; Hotel receipts, barua za mwaliko wa safari nk nk.

Check here: Alibi services for married and looking for discreet relationships and discreet affairs

Binadamu bana: tunalikorogo wenyewe, kisha tunakunywa wenyewe.

Respect.
 
Mkuu endelea kutupa somo....nakubaliana na wewe,katika yote unayotupa
 
Mkuu sana Allien...nilitamani sana kumfuatilia mwandani wangu kila unyayo ila nilikwama baada ya kugundua uadilifu wangu unastahili kupaliliwa kwa muda mrefu angalau kufikia robo ya uadilifu wake. Kwa kutambua hilo nimejitahidi sana kubadilika ili kuendana na mama watoto wangu of whom najihesabu km life time achiever kwa kumpata yeye kwa kua kwake naamini najifunza mengi mazuri kuliko anayojifunza kwangu ..
 
Hayo ndo maneno tunataka kusikia Mkuu.

Na soon tutajadili ni namna gani Unaweza Kuacha kabisa ili "usirudie tena" . . . ili wewe na mama muwe page moja.

Big Up na heshima sana Mkuu.
 
Alien nategemea kuanzisha PRIVATE INVESTIGATION unit kwa ajili ya mambo ya mapenzi tu! Nadhani nitakuwa tajiri ndani ya muda mfupi!
 
Kweli hii laana yani watu wanatafuta wake zao na watoto zao wamepotea watu mandiskas kucheat loh kazi ipo tanzania bila ngono aiwezekani
 
Acha kujidanganya bwana Allen kwamba unawezo kucheat milele. Unachofikiria wewe kuwa ni siri ya kufanikisha kumcheat mwenzi wako inawezekana ndio mbinu anazotumia na yeye. La muhimu ni kuacha tu tabia ya kucheat kwa sababu NJIA YA MUONGO NI FUPI NA ZA MWIZI NI AROBAINI TU na zaid ya yote ni DHAMBI kwa mungu. nukta
 
Back
Top Bottom