Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 199
Mbona mimi hizo rooter zote zimekataa? Hizo apps zote za kuroot zimefail. Sim yang ni Huawei Y520
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unasema hivyo[emoji118]Kuweni makini na kuroot.
).
Pia Rooting inaharibu Warranty ya simu yako. Kama ulipewa Warranty uliponunua simu yako na ukaikuta na tatizo, ukiirudisha haitakubalika. Aidha, inawezekana pia kuunroot
Mkuu mimi nina ombi moja tu. Naomba unielekeze process za ku unroot, iwapo uliroot kwa kingroot.
Pia naomba kujua, hivi ukiflash simu ambayo umeroot inamaana inawezekana ukawa ume unroot pia?
Kwa vipi mkuu? Tusaidie maelekezoNdio ndg, inawezekana
Sent from my H6 using JamiiForums mobile app
Andriod version yake kama ni chini ya 5.0 inawezekanaVipi mkuu tecno y6 naweza root ??
Ndio inawezekanaSimu yangu ina android version 4. 4. Je inafaa kufanyia rooting ?
Bado haiwwzekani kwa hiyo version but wataalamu wanaangaikia ili iwezekaneNjia ipi ni sahihi kwa simu yenye version ya kuanzia 5.0.
Nataka kuanroot, iwe kma vile mwanzo. Je nifanyeje
Fanya hivi ku unroot simu yakoMimi Leo najuta ku root simu yangu. Jamaa wako kimya hata ukiwapigia simu kwa namba walizoweka humu na wala hawaji tena kusaidia ama kujibu maswali.
Fanya hivi ku unroot simu yakoNataka kuanroot. Je nifanyeje
Fanya hivi ku unroot simu yakoNataka kuanroot. Je nifanyeje