Jinsi ya ku root simu yako ya Android

tks for knowlegde
 

Mkuu msaada jinsi ya kuroot huawei mate 8
 
MSAAAADAA....!
MSAAAADAAAA..!!!

Jins ya kurut Simu unayotumiaaa MARSHMALLOW ( HIOS)
MF C9
plz over PLZ msaaadaaaa nmetumiaaa KINGROOT kilaaa version inafelii
 
Natumia note 3 neo, nataka Kui root, je baada ya kuiroot hatua gani za kufuata ili nitoke jell bean niingie lolly pop?
Naomba kujuzwa wataalam.
Shukran.
 
VIPI NA HASARA ZA KUROOT PIA UNGEZIWEKA,
 
Ythfssswaqft
F
 
JAMANIIIIII MSAAAAADA MSAAAAAADAAAAAAA!!!!!!
NISAIDIENI JINSI YA KUROOT HUAWEI MATE 8 ......MSAAAAADA TAFADHALI....NASHINDWA KUIFAIDI SIMU YANGU MWENZENU
 
Samahani kwa aliyeroot tecno C8 na huawei y300 naombeni mrejesho. Umetumia programu ipi?
 
Mi nimefanikiwa kuroot kwa kutumia hiyo king root na kuibadili kinguser kuwa super su.
Msaada jinsi ya ku-unlock bootloader,natumia huawei y300...nimejaribu dc unlocker bt phone not found
dc unlocker iko vizuri kuna vitu viwili hapo drivers na jinsi unavyo iandaa hiyo simu kwa ku unlock hata hivyo dc unlocker haihitaji simu yako iwe rooted
 
Wadau natumia galaxy j2 toleo la mwaka huu nimejaribu kuroot kwa kutumia kingroot inaload halafu inaandika strategy unavailable
 
Wadau natumia galaxy j2 toleo la mwaka huu nimejaribu kuroot kwa kutumia kingroot inaload halafu inaandika strategy unavailable
Unajua wat weng still hawajajua ktu khs ku root sim.... Kw tz tang t tcra wazme cm fake mpk leoo hkunaaa any devic ambyoo utawzaa k root kw kitmia progrm au njia yyt .....
 
Shukrani xana kaka....mim nmejarbu kuroot tecno c8(upgraded kutoka adroid 5.0.2 mpka 6)

Shida ni kwmba imkataaa kabisa kuroot na cjui tatizo ni nin...msaada wako tafadhalii au kama adroid 6 baado haifai kuroot naomba unisaidie
 
Mm natumia techno c 5 ,je inawezekana maana naongopa kutokana na maoni ya wadau kwamba aroot harafu icon za call,SMS zikapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…