Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Simu yangu haina Google play store ya kudownload apps. Ni Sumsung galaxy note 3 SM-N9006 Naomba msaada please jinsi ya kuipata!
 
Yote hayo nimefanya na kufanikiwa.
Nahitaji kuzuia matangazo yanayojitokeza mara kwa mara nikiwa kwny net.
 
Mimi nimefuata procedure zote lakini inagoma baada ya kufikia hatua ya mwisho ambapo ina install na ikifika 90% inaniambia ROOT FAILED kama moja wapo ya screen shots zinavyoonekana kwenye thread ya Athanas0011 na simu yangu ni Itel 1503.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…