Hata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
Wala msihangaike sana.. 'Download app' inayoitwa 'Phoenix Browser'. Hii ina kitu kinaitwa 'Status Saver'.. 'Status' yoyote itakayowekwa itahifadhiwa kwa masaa 24 na utaweza kuisoma 'off-line'.. na ukitaka kuihifadhi kabisa una 'save' tu..🙂😜