Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Hata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
Eeh,inakuwaje hii,sijaelewa

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Njia ni kutumia WhatsApp unofficial kama

Aerowhatsapp, GBwhatsapp, n.k
 
kama mtu yupo kwenye contact list yangu basi sina maneno naye. huwa naangalia status zote
 
Duuh ulitumia playstore?
nenda kwenye uc browser/operamin utadownload kirahisi zaidi..
Search whatsaap gb apk-download.
shida nikuwa zinafunguka lakini zinahitaji ni update version na wakati ni updated.
 
Back
Top Bottom